Nikiwa na 1.5-2M naweza pata sound gani kali ya nyumbani ya heshima

Nikiwa na 1.5-2M naweza pata sound gani kali ya nyumbani ya heshima

Mkuu hujapata ona kitu kama Sony je unawajua Bang & Olufsen?
Pole sana kwa kutumia sound za madum za mchina.
Kwa budget yako karibu katika ulimwengu wa Sound zilizopimwa mkuu.

Kwa all-in one pack System kibongo bongo nakushauri bila kusita tafta mnyama kazi huyu Sony BDV-N9200 ambaye anamiliki burudani zote ndani kuanzia blu-ray disc playback, 4K Upscalling, bluetooth, Wifi active, Hi-Res audio playback.Kikubwa zaidi ana 1200watts RMS. Kwa bei ya mpya anacheza kwenye 2.2M ila ukienda Shop na mashuka ya Mmasai 2M cash lazma uondoke na mtambo. Hio option ya dukani.

Ila kuna Option ya mtumba pia, huku utapata kinu mujarabu. Kuna wana wanajiita Home_used_goods hapo instagram. Wako boko, wao wanashushaga mali toka mbele. Huko utakutana na akina Onkyo, Harman Kardon,Yamaha na brand za ulaya kama Bose. Kwa wanaojua miziki watanisaidia kukupa uhakika wa hizi brands. Combination inakuwa na Amp na tower speakers na subwoofer. Ni setup ya uhakika yani na bei zao zinachezea humo humo kwenye budget yako. Pia niliona recently wana hii Sony BDV-N9200 wao wanaisogeza kwa 1.4M imekuja kama mtumba ila ni Piru.

Kaka ushindwe wewe, pia fanya utafiti madukani kama utakuwa mpinzani wa Sony kisha nunua. Ila kwangu mie brand nyingine naonaga boloka tu. Sijapata kuona kinu cha maana walau Panasonic wanajitahidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iwe iwavyo huu ni ushamba!! Hii style ya kutundika tv ukutani ni special kwa public places... una meza nzuri ya tv isimamishe kwa stand yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watoto, ilikuwa mezani ikapigwa rimoti za kutosha sahizi ina patch moja kubwa ya wino na mstari mwembamba. Nikaona kabla haijamalizwa aheri niitundike tu.
 
Daah sana mkuu ila vitu vyao ni balaa, nilisikiliza earphone yao flani yaani acha kabisa!! Ukija kwenye bei earphone cheaper unaeza ambiwa 400$


TV na Music systems zao hazigusiki kwa masikini. Niliona home theater yao moja ni approximately 60M TZS
Nawajua hao B & O mzeebaba sema kwa bongo ngumu kupata hizo trim za Audio na hata ukiiotea itakuwa aghali sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah sana mkuu ila vitu vyao ni balaa, nilisikiliza earphone yao flani yaani acha kabisa!! Ukija kwenye bei earphone cheaper unaeza ambiwa 400$


TV na Music systems zao hazigusiki kwa masikini. Niliona home theater yao moja ni approximately 60M TZS

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ushapanda panda Benz za kuanzia 2006 utakuwa umebahatika kusikia sound lake lilivyo nyokow. Huyo m Danish aachwe kama alivyo.
 
mkuu, hata mimi nina Tv size ya mkuu Extrovert nataka nitundike ukutani, its all a matter of choice wala sio ushamba, mimi naona ili flat inoge bas iwe ukutani


Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah inakaa poa sana ikilala na ukuta, hata watengenezaji waliziandaa kwa dhumuni hilo ndio maana zikanyimwa tumbo!
 
Kama huna watoto nakushauri usitundike. Kwanza haipendezi pili inawahi kufa. % kubwa ya flat tv zilizochora wino ni zile zilizotundikwa ukutani. Ukuta unapata mitikisiko kadhaa usiyoiona that's why flat nyingi zinaathirika bila watu kujua sababu.
mkuu, hata mimi nina Tv size ya mkuu Extrovert nataka nitundike ukutani, its all a matter of choice wala sio ushamba, mimi naona ili flat inoge bas iwe ukutani


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom