Kwa uhakika zaidi unaweza pata volzt na rav4 kwa around 16.5m hivi. Kwa hiyo 15 labda umvue mtu hapa hapa bongo kwa pungufu ya hiyo 15m mkuu.
Ndo nchi yetu ya kukomoana...Zanzibar nchi kaka ikifika pale bandarini naambiwa ushuru kama imetoka japani[emoji1]
huyo mwarabu ungemfanya mwenzako ayachukie magariUngekuwa Zanzibar ungepata Alphard na chenge ikabaki
Ndio ipo pia ZZT 240 CC 1790 ni nzuri kwa mkononi unaweza pata hiyo ikiwa na hali nzuri sana kwa budget yako.Hiyo 15m yenyewe ina mpaka sh 50 za coins ujue nilivyo dunduliza [emoji1][emoji1] voltz kama kadogo hivi angalau Rav4 kili time sawa ila nasikia kuna yenye injini moja ya 1990cc sio nzuri kabisa .
Tafuta VOLTS,RUSH..hizi gari moja wapo itakufaa Sana hasa Kwa Safar ndefu na hata mijini pia
Volts ina cc1790 hii gari ni ngumu na inaweza kusafiri umbali mrefu bila kuchemka engine
Kimomwe Motors waagizaji wa magari kutoja nje ya nchi ni suluhisho la suala lako.Habari wadau.
Kwanza kabisa niwe mkweli sijui lolote kuhusu magari, ndio naanza kupambana na mimi niwe na usafari wangu.
Nataka kujua kwa 10-15M naweza pata gari gani ya juu nzuri na ya safari ndefu.
Note: Toyota ndio brand nayona itanifaa.
Sawa sawa Boss, vizuri umuwekee na gharama za Wharpage, Shipping Line, Agency Fee, Registration + Plate number na TPA charge ambazo ni lazima zilipwe pale bandarini.mchuma huo mkuu ni usd 2818 mpaka bongo equal to tsh 6,483,945. duty as per TRA calculator is 7,666,093 making a total of tshs 14,150,038/- na chenji ya bima na full tank unabaki nayo
Vuta Allion ule maishaHabari wadau.
Kwanza kabisa niwe mkweli sijui lolote kuhusu magari, ndio naanza kupambana na mimi niwe na usafari wangu.
Nataka kujua kwa 10-15M naweza pata gari gani ya juu nzuri na ya safari ndefu.
Note: Toyota ndio brand nayona itanifaa.
Tafuta VOLTS,RUSH..hizi gari moja wapo itakufaa Sana hasa Kwa Safar ndefu na hata mijini pia
Volts ina cc1790 hii gari ni ngumu na inaweza kusafiri umbali mrefu bila kuchemka engine
Rush ni delicate sana, halafu haina balance kabisa.
Voltz last production ilikuwa 2002/3 kama sijakosea, nahisi kama litakuwa so old.
Labda labda atafute Rav4 za kichaga zile.
Kweli ongea na watu uvae viatu, sikujua hili.