Bakulutu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2011
- 2,557
- 1,787
Habari wadau,
Kwanza kabisa niwe mkweli, sijui lolote kuhusu magari. Ndiyo naanza kupambana na mimi niwe na usafiri wangu.
Nataka kujua kwa kiasi cha milioni 10-15 naweza pata gari gani ya juu nzuri na ya safari ndefu.
Note: Toyota ndiyo brand nayona itanifaa.