Nikiwa na 10-15M naweza pata gari gani ya juu?

Wadau mtu akisema rav4 kili time anakua Anamaanisha Ipi?!
 
Wikipedia

The Toyota Voltz was a five-door hatchback sold from July 2002 to March 2004. It was assembled by NUMMI in Fremont, in the U.S. state of California and marketed by Toyota in its home market of Japan, but curtailed after a disappointing sales volume of just over 10,000 units. The Voltz was produced alongside the Pontiac Vibe in Fremont by NUMMI (New United Motor Manufacturing, Inc), a joint venture between General Motors and Toyota. This vehicle is known as the Pontiac Vibe (itself a version of the Toyota Matrix) in North America. The Vibe was exported to the Japanese market (with minor badging changes and right-hand drive configuration) as the Toyota Voltz, and was exclusive to Toyota Japanese dealerships called Toyota Netz Store. Whereas its exterior styling is identical to the Vibe, some interior details differ, matching the interior of the Matrix instead. Curiously, the North American Toyota-branded Matrix was not sold in Japan.
 
Ni za miaka ipi hizi za kichaga?

Baada ya kuandika ndo nikaona haina tofauti na ushauri nilioutoa kwenye Voltz kuhusu mwaka.

BTW, za kichaga nadhani nimezipa score kwa sababu ya durability na uwezo wa kuhimili barabara mbovu
 
Baada ya kuandika ndo nikaona haina tofauti na ushauri nilioutoa kwenye Voltz kuhusu mwaka.

BTW, za kichaga nadhani nimezipa score kwa sababu ya durability na uwezo wa kuhimili barabara mbovu
Nahisi Kwa budget yake ya milion 10-15 Kwa gari ya juu(mid-SUV) alafu ya kuagiza kutoka Japan lazima itakuwa ya long kidogo kuanzia 2002-2005.
Kama angekuwa mtu wa magari angevuta mnyama SUBARU FORESTER CROSS SPORT afurahie maisha
 
Na ile Rav4 old model ni right choice kwake.

Sema magari ukitimiza hela ya kununua yanazingua sana kuchagua, mpaka ufikie kusema sasa nachukua hili unakuwa umeumiza kichwa sana.
 
Na ile Rav4 old model ni right choice kwake.

Sema magari ukitimiza hela ya kununua yanazingua sana kuchagua, mpaka ufikie kusema sasa nachukua hili unakuwa umeumiza kichwa sana.
Ukishakuwa na familia ndiyo inakuwa balaa Kwenye kuchagua gari utakuta MKE anapenda gari Fulani na wewe unapenda tofauti alafu gari hiyohiyo moja ndiyo ya Safar za mikoani na route za mjini..... Kwenye haya maisha yetu ya kuungaunga kama unakuwa gari mbili hapo unakuwa umemaliza utata
 
Bado sijapata majibu wadau . Hivi hapa bongo show room ipi naweza pata magari kwa bei nzuri pia, manake kuna hizi show room za kuanzia mwenge mpak morocco... balaaaaa[emoji3][emoji3]
 
Ndio ipo pia ZZT 240 CC 1790 ni nzuri kwa mkononi unaweza pata hiyo ikiwa na hali nzuri sana kwa budget yako.
15 milioni atapata kunu
Baada ya kuandika ndo nikaona haina tofauti na ushauri nilioutoa kwenye Voltz kuhusu mwaka.

BTW, za kichaga nadhani nimezipa score kwa sababu ya durability na uwezo wa kuhimili barabara mbovu
Rav4 old ina ka ugonjwa wa kuwa na matege mbele na nyuma;hapana aisee😆😆😆simshauri
 
Nataka HARRIER au SURF HILUX
 
mkuu shiping line ipo kwenye hiyo usd 2818, chek hiyo link. mkuu hiyo cif ni ya TRA na ni tofauti na ya beforwad.
 
Mkuu hiyo ni duty tu bado hatujaweka charges za bandari na pia kumbuka hiyo system ya TRA huwa haitoi exact figure hivyo hapo unatakiwa kuweka akiba hata ya 1M .
ndio anabakiwa na 850k, inatosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…