Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Volts zipo mpaka 2005Rush ni delicate sana, halafu haina balance kabisa.
Voltz last production ilikuwa 2002/3 kama sijakosea, nahisi kama litakuwa so old.
Labda labda atafute Rav4 za kichaga zile.
Ni za miaka ipi hizi za kichaga?Rav4 za kichaga
Ni za miaka ipi hizi za kichaga?
Nahisi Kwa budget yake ya milion 10-15 Kwa gari ya juu(mid-SUV) alafu ya kuagiza kutoka Japan lazima itakuwa ya long kidogo kuanzia 2002-2005.Baada ya kuandika ndo nikaona haina tofauti na ushauri nilioutoa kwenye Voltz kuhusu mwaka.
BTW, za kichaga nadhani nimezipa score kwa sababu ya durability na uwezo wa kuhimili barabara mbovu
Nahisi Kwa budget yake ya milion 10-15 Kwa gari ya juu(mid-SUV) alafu ya kuagiza kutoka Japan lazima itakuwa ya long kidogo kuanzia 2002-2005.
Kama angekuwa mtu wa magari angevuta mnyama SUBARU FORESTER CROSS SPORT afurahie maisha
Mkuu hiyo ni duty tu bado hatujaweka charges za bandari na pia kumbuka hiyo system ya TRA huwa haitoi exact figure hivyo hapo unatakiwa kuweka akiba hata ya 1M .mchuma huo mkuu ni usd 2818 mpaka bongo equal to tsh 6,483,945. duty as per TRA calculator is 7,666,093 making a total of tshs 14,150,038/- na chenji ya bima na full tank unabaki nayoUsed 2000 TOYOTA HARRIER/GF-SXU10W for Sale BG501955 - BE FORWARD
www.beforward.jp
Ukishakuwa na familia ndiyo inakuwa balaa Kwenye kuchagua gari utakuta MKE anapenda gari Fulani na wewe unapenda tofauti alafu gari hiyohiyo moja ndiyo ya Safar za mikoani na route za mjini..... Kwenye haya maisha yetu ya kuungaunga kama unakuwa gari mbili hapo unakuwa umemaliza utataNa ile Rav4 old model ni right choice kwake.
Sema magari ukitimiza hela ya kununua yanazingua sana kuchagua, mpaka ufikie kusema sasa nachukua hili unakuwa umeumiza kichwa sana.
Umefafanua vyema mkuuMkuu hiyo ni duty tu bado hatujaweka charges za bandari na pia kumbuka hiyo system ya TRA huwa haitoi exact figure hivyo hapo unatakiwa kuweka akiba hata ya 1M .
Serikali inakusanya kodi kubwa kuliko bei ya gari....mchuma huo mkuu ni usd 2818 mpaka bongo equal to tsh 6,483,945. duty as per TRA calculator is 7,666,093 making a total of tshs 14,150,038/- na chenji ya bima na full tank unabaki nayoUsed 2000 TOYOTA HARRIER/GF-SXU10W for Sale BG501955 - BE FORWARD
www.beforward.jp
15 milioni atapata kunuNdio ipo pia ZZT 240 CC 1790 ni nzuri kwa mkononi unaweza pata hiyo ikiwa na hali nzuri sana kwa budget yako.
Rav4 old ina ka ugonjwa wa kuwa na matege mbele na nyuma;hapana aisee😆😆😆simshauriBaada ya kuandika ndo nikaona haina tofauti na ushauri nilioutoa kwenye Voltz kuhusu mwaka.
BTW, za kichaga nadhani nimezipa score kwa sababu ya durability na uwezo wa kuhimili barabara mbovu
Nataka HARRIER au SURF HILUXKimomwe Motors waagizaji wa magari kutoja nje ya nchi ni suluhisho la suala lako.
Gari za bajeti yako ambazo body yake ni SUV ni kama ifuatavyo:-
1. Harrier Old Model
2. Nissan Xtrail
3. Rav 4 Old Model
4. Mitsubish Pajero Io
5. Mitsubish Outlander
6. Subaru Forester
7. Nissan Dualis
Kwa uchache nazikumbuka hizo. Zaidi tembelea ofisini kwetu Magomeni Mapipa au piga sim namba 0746267740
Tupigie 0746267740 boss. Gari ni nyingi sana.Nataka HARRIER au SURF HILUX
mkuu shiping line ipo kwenye hiyo usd 2818, chek hiyo link. mkuu hiyo cif ni ya TRA na ni tofauti na ya beforwad.Sawa sawa Boss, vizuri umuwekee na gharama za Wharpage, Shipping Line, Agency Fee, Registration + Plate number na TPA charge ambazo ni lazima zilipwe pale bandarini.
Ila pia muagizaji anatakiwa kujua nini cha kufanya ili ushuru alioona kwenye screen ndio huo huo alipie siku gari ikifika maana ukisoma vizuri ule ushuru utaona system ya TRA imeeka wazi kwamba CIF ya hiyo gari husika labda ni Dola 2700 ndio mana wamechaji 7.6m, umejiuliza watachaji kiasi gani iwapo gari ina CIF value tofauti na waliyotumia wao???
ndio anabakiwa na 850k, inatosha.Mkuu hiyo ni duty tu bado hatujaweka charges za bandari na pia kumbuka hiyo system ya TRA huwa haitoi exact figure hivyo hapo unatakiwa kuweka akiba hata ya 1M .