Nikiwa na milion 500 naweza kufanya uwekezaji gani wakuu?

Nikiwa na milion 500 naweza kufanya uwekezaji gani wakuu?

fundi bishoo

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2018
Posts
14,498
Reaction score
27,813
Naombeni ushauri wakuu ni biashara au uwekezaji gani utanifaa kwa hii pesa


PESA SINSA ILA NAJARIBU KUVUTA PICHA SIKU NIKIZIPATA TUWAKUU
 
Be serious bro, hiyo hela ni ya Urithi au ulitafuta mwenyewe? Kiwango hicho cha fedha idea huwezi pata humu , sio rahisi. Chamsingi amka ukakojoe usije ukajikojolea
mods jau wameedit hii post
 
Weka zote benki bakia na milioni ishirini tu.Ukishindwa kutengeneza faida kwa mtaji wa milioni ishirini chomoa mia mbili nunua kiwanja zika pesa yako ukiwa na uhakika wa akiba wakati wa dharula.
sawa nitaweka tu mambo yakiwa mazuri siku moja
 
Ungekua upo Serious nngekupa Business Idea za kufanya na kuzalisha pesa kwa Haraka sana.
weka tu humu kuna watu pesa wanazo n wako serious mkuu ila wanaona jau kujita muhanga mm nawasaidia kufikisha ujumbe
 
anza na laki 3 hio uliyonayo.. ukiingiza elfu 30 kila siku utatumia miaka 45 kufikisha milioni 500 kisha uje uombe ushauri
nashukuru sana mkuu yaani ww tu ndiye ulienielewa humu wengine wote wabahatishaji tu
 
Nunua boti zako tano za 18ml pale musoma, daka samaki, uza matani kwa wateja. Siku zingine kodisha boti ilete hesabu hata ya 300k.
Inayobaki jenga appartments hata kumi za 2 bedroom sebule jiko na choo.
Kalale ndani kimya.
 
weka tu humu kuna watu pesa wanazo n wako serious mkuu ila wanaona jau kujita muhanga mm nawasaidia kufikisha ujumbe
Vzur sana mkuu.
Cwez kuweka Business Idea kwenye watu wenye mdhaaa mwingi.
HUwez kukuta Dhahabu kwenye Pua ya Nguruwe.
Biashara ipo ya njia 2
1. Kutoa Huduma
2. Kuuza Bidhaaa
Biashara zote znataka Location nzur tu
 
Back
Top Bottom