presider
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 1,488
- 2,012
Kwan boti moja n kias gan mkuu...?Nunua boti zako tano za 18ml pale musoma, daka samaki, uza matani kwa wateja. Siku zingine kodisha boti ilete hesabu hata ya 300k.
Inayobaki jenga appartments hata kumi za 2 bedroom sebule jiko na choo.
Kalale ndani kimya.