fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,498
- 27,813
mods jau wameedit hii postBe serious bro, hiyo hela ni ya Urithi au ulitafuta mwenyewe? Kiwango hicho cha fedha idea huwezi pata humu , sio rahisi. Chamsingi amka ukakojoe usije ukajikojolea
pesa sina mkuuuHongera mkuu, hapo Jenga tu nyumba zako kadhaa pangisha
Inayo Baki fanya mtaji wakitu unachopenda kufanya kama biashara
asante sana mkuu siku mungu akijibu maombi yngu nkapata hy pesa lzm ntjenga misikitiJenga Misikiti
Hadi wao wameona huyu miyeyushomods jau wameedit hii post
Sasa hapa unatafuta nini, 😁😁pesa sina mkuuu
kati ya mm na mods nani miyeyusho mkuu kwani kuimagine jinsi utavoomba ushauri siku ukizipata n shidaHadi wao wameona huyu miyeyusho
niko natafuta ushauri wenu wakuu i hope utanijenga na kuniongoza ili nizifkie hzo pesaSasa hapa unatafuta nini, 😁😁
sawa utaratibu wa kununua tatab au coastal upoje na jeendapo nikitaka kufungua kiwanda cha kutengeneza matofali je hatutopiga pesa hapo mkuuNunua tata au coaster
sawa nitaweka tu mambo yakiwa mazuri siku mojaWeka zote benki bakia na milioni ishirini tu.Ukishindwa kutengeneza faida kwa mtaji wa milioni ishirini chomoa mia mbili nunua kiwanja zika pesa yako ukiwa na uhakika wa akiba wakati wa dharula.
Ungekua upo Serious nngekupa Business Idea za kufanya na kuzalisha pesa kwa Haraka sana.Naombeni ushauri wakuu ni biashara au uwekezaji gani utanifaa kwa hii pesa
PESA SINSA ILA NAJARIBU KUVUTA PICHA SIKU NIKIZIPATA TUWAKUU
weka tu humu kuna watu pesa wanazo n wako serious mkuu ila wanaona jau kujita muhanga mm nawasaidia kufikisha ujumbeUngekua upo Serious nngekupa Business Idea za kufanya na kuzalisha pesa kwa Haraka sana.
nashukuru sana mkuu yaani ww tu ndiye ulienielewa humu wengine wote wabahatishaji tuanza na laki 3 hio uliyonayo.. ukiingiza elfu 30 kila siku utatumia miaka 45 kufikisha milioni 500 kisha uje uombe ushauri
Vzur sana mkuu.weka tu humu kuna watu pesa wanazo n wako serious mkuu ila wanaona jau kujita muhanga mm nawasaidia kufikisha ujumbe