Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 850
- 2,019
Kumfanya mumeo ajisikie kuwa unampenda sana.Wkt huu napaswa kufikiria jambo gani.?
🤣🤣🤣Waza BBCWakuu habari za majukumu.
Ninafanya maziezi Kila baada ya maziezi nakaa kitako nafumba macho nikivuta hisia. Wkt huu napaswa kufikiria jambo gani.?
Waza Yesu Kristo alivyokufia Misalaba I, ukiwa a mengine ujue unavuta mishetaniWakuu habari za majukumu,
Huwa ninafanya mazoezi, na kila baada ya mazoezi nakaa kitako, nafumba macho nikivuta hisia. Wakati huu napaswa kufikiria jambo gani?
Post in thread 'Somo la meditation: utajuaje kama unafanya kwa sahihi?' Somo la meditation: utajuaje kama unafanya kwa sahihi?Ngoja waje wataalamu wa sekta hii kama kina Mshana Jr wakupe Muongozo
Post in thread 'Meditation in your daily routine' Meditation in your daily routineNgoja waje wataalamu wa sekta hii kama kina Mshana Jr wakupe Muongozo
Meditation ni tahajudiWakuu hivi Kuna tofauti kati ya meditation na masterbation?
Hii imenisisimua Santa mkuu asanteWaza tokea unakua maisha ya furaha ya utotoni
Asnte mkuu umenipa kitu kingine sensitive.Nadhani wakuu humu walishaeleza kama unataka kupata amani ya moyo, unapofanya meditation kwanza usiwaze jambo lolote iwe kazi,familia, madeni etc ...concentrate na kuvuta pumzi na kutoa (iwazie tu inavotoka na kuingia)au kama ni mshumaaa uangalie tu na mawazo yawe hapo...USIWAZE CHOCHOTE ABOUT YOUR LIFE..wajuvi wa mambo wataongezea hapo...
Mkuu nasubiri neno lako Mshana JrMeditation ni tahajudi
Masturbation ni kupiga punyeto
Meditation ni tendo la usafi
Masturbation ni tendo la uchafu
Meditation ni tendo la wazi
Masturbation ni tendo la siri
Meditation ni tendo la kujivunia
Masturbation ni tendo la aibu
Meditation ni tendo la kukujenga kiakili na kiroho
Masturbation ni tendo la kukuathiri kiroho na kiakili
Sent using Jamii Forums mobile app
Umewaza kwengine mkuu laakini nakushuru umejizuia na umehishimika Sana.Wew ni mchokozi any way ....
Waza kile kimekufanya ufanye meditation [emoji3284]