Nikiwa nafanya meditation napaswa kuwaza kitu gani?

Nikiwa nafanya meditation napaswa kuwaza kitu gani?

Mkuu usikatishwe tamaa ya negative comments za baadhi ya wachangiaji, keep on seeking. Lengo la meditation ni kufikia situation ya no mind (no state of thinking) I mean uwe na uwezo wa kuswitch off mind mpaka pale kutakapokua na ulazima wa kuitumia. Hivyo basi kutokana na swali lako ni kwamba unapokua unameditate hutakiwi kufocus kwenye kuwaza chochote instead just watch or observe hayo mawazo yanayokua yakiendelea ktk mind yako (you watch as if you are watching a movie in your head) but without any judgement. Wewe kazi yako inakua kila thinking inayokuja kichwan unaitazama automatically itakua inayeyuka, itakuja thinking nyingine hvo hivo, hatimae baada ya muda/kipindi flan cha commitment ya ufanyaji meditation the real you (watcher/soul) atakua anazidi kua na power zaidi ya kuweza kumcontrol watched thoughts (mind) then stillness in your mind in your mind. Nikupe Mfano tu hapo ulipo sasahivi kaa kwa utulivuu afu Fanya kuobserve/watch any thought inayoendelea kichwani right now, i mean now, utajikuta baada ya sekunde kadhaa inayeyuka inakuja thought nyingene na yenyewe do the same, ila ikitokea umekatisha tu watching (awareness) basi thoughts zinaanza kuja kichwani randomly, likitoka hili linaingia lile, in shorts all the time kunakua na kelele kichwani sema tu haziskiki nje, zingekua zinackika nje kusingekua na utofauti na mgonjwa wa akili (unconscious/unawareness) anaetembea naongea pekeake. Keep on seeking mkuu
 
Wakuu hivi Kuna tofauti kati ya meditation na masterbation?
Meditation ni tahajudi
Masturbation ni kupiga punyeto

Meditation ni tendo la usafi
Masturbation ni tendo la uchafu

Meditation ni tendo la wazi
Masturbation ni tendo la siri

Meditation ni tendo la kujivunia
Masturbation ni tendo la aibu

Meditation ni tendo la kukujenga kiakili na kiroho
Masturbation ni tendo la kukuathiri kiroho na kiakili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani wakuu humu walishaeleza kama unataka kupata amani ya moyo, unapofanya meditation kwanza usiwaze jambo lolote iwe kazi,familia, madeni etc ...concentrate na kuvuta pumzi na kutoa (iwazie tu inavotoka na kuingia)au kama ni mshumaaa uangalie tu na mawazo yawe hapo...USIWAZE CHOCHOTE ABOUT YOUR LIFE..wajuvi wa mambo wataongezea hapo...
 
Asnte mkuu umenipa kitu kingine sensitive.
 
Meditation ni tahajudi
Masturbation ni kupiga punyeto

Meditation ni tendo la usafi
Masturbation ni tendo la uchafu

Meditation ni tendo la wazi
Masturbation ni tendo la siri

Meditation ni tendo la kujivunia
Masturbation ni tendo la aibu

Meditation ni tendo la kukujenga kiakili na kiroho
Masturbation ni tendo la kukuathiri kiroho na kiakili

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nasubiri neno lako Mshana Jr
 
Back
Top Bottom