Nikiwa nasema Simba SC kuna Tatizo, Mgunda siyo Kocha na Yanga SC Bingwa tena Msimu huu muwe mnanielewa sawa?

Mkuu siku hizi umebadilika sana, unanyoosha sana mstari.
Ndiyo hulka ( tabia ) yangu hata Kiuhalisia na katika Maisha yangu ya Kawaida na ndiyo maana nachukiwa na Wapumbavu na Wanafiki wengi Tanzania na hapa Jamiiforums pia.
 
Ile kampeni ya Mgunda apewe mkataba haraka imeishia wapi? Wewe na Njaakalihatari si mlitaka kumtoa meno Barbara ati kwanini anasitasita kumuidhinisha kuwa kocha mkuu? Wakati mwingine subira ni muhimu kuliko mihemuko inayoleteleza kuuumbuka.
 
Hujui kitu bibi kidawa
 
Pale mbumbumbu anaposhangilia kuitabilia mbumbumbu FC kukosa ubingwa
 
Usiyaambie ukweli Makolo wenzako, sisi kama Yanga tuendelee kutamba tu.
 
Ile kampeni ya Mgunda apewe mkataba haraka imeishia wapi? Wewe na Njaakalihatari si mlitaka kumtoa meno Barbara ati kwanini anasitasita kumuidhinisha kuwa kocha mkuu? Wakati mwingine subira ni muhimu kuliko mihemuko inayoleteleza kuuumbuka.
Hata Wewe pia kuna Siku Mumeo huwa anahemka Kimakosa kwa 'Kuiweka' katika Mlango wako wa Kusi badala ya Mlango sahihi wa Kaskazini je, huwa Unamshangaa pia?
 
Hata Wewe pia kuna Siku Mumeo huwa anahemka Kimakosa kwa 'Kuiweka' katika Mlango wako wa Kusi badala ya Mlango sahihi wa Kaskazini je, huwa Unamshangaa pia?
Jibu hoja kijana acha derogatory languages hapa.
 
Hata Wewe pia kuna Siku Mumeo huwa anahemka Kimakosa kwa 'Kuiweka' katika Mlango wako wa Kusi badala ya Mlango sahihi wa Kaskazini je, huwa Unamshangaa pia?
Hahaha! Mgunda apewe timu, Mgunda apewe timu, Mgunda apewe timu; mara, Barbara aondoke kama akishindwa kuajiri mzawa wetu Mgunda. Kiko wapi kijana. Nasisitiza kwa mihemuko hii na viherehere vya kujifanya unajua kila kitu, hakika utaendelea kuumbuka na kuishia kubwabwaja matusi kwa wanaokukosoa. Uzuri watu kama sisi hatutikiswi na matusi yoyote.
 
Kakioshe.
 
Mpumbavu kama Yeye huwa anajiamini?
Kwa hiyo unataka kusema na mimi ni mpumbavu aka Popoma mbobevu kama wewe unaye hudhuria matibabu ya afya ya akili katika hospitali mbili tofauti hapa nchini! Mirembe ya Dodoma, na Lutindi ya Tanga!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…