uungwana classic
JF-Expert Member
- Jun 9, 2014
- 2,324
- 2,085
Mkuu haya maisha kuna vitu hakuna ujanja ni kubet tu na moja wapo ni ndoa na kwenye kubet mkeka unachanikaga kama hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari sana chief ...Yani mke kasafisha mjengo mubasharaa
Hawa wanawake wanatetea sana ndoa na kuzipigia promo kwa sababu wanajuaga tofauti na hapo hawana thaman nyingne yyte mbele ya mwanaume. Kiufupi ni kwamba "Marriage is a female institution, yu as a man you get nothing from it, yu have to sacrifice your dreams, ambition,time, etc"Mbona kaongea ukweli.Eleza kakosea wapii Sio kujudge bila reason.Nati imechomoka Kwa kipi Kwani hayaonekani kwenye jamiii
Wewe ni ms€nge, kwani usipooa ndio unakuwa shoga? Watu mmekalia ubishi ubishi tu, mada ipo wazi nini usichoelewa?Nakubali wewe ni mwana Liverpool mwenzangu ila unatoa ushauri usio kua na macho wala miguu sasa nisioe au unataka niende Mombasa nikawe shoga au?
Ndio, sasa hela za mshahara sio hela??Hela zamshahara ndo ujivunie eti zimemwokoa John
Halafu nyie madingi miyeyusho kinoma, na ndio maana kwenye familia zingine mnapigwa makofi na vijana weni, hivi dingi gani wewe usiyefikiria??Vijana oeni uhuni hauna faida haya uliyoandika ni maneno ya kujifariji tu.
Hongera bhana, wewe una tofauti, tuache sisi tusio na tofauti.Nyinyi ndo mnaokuja kwa therapy session kutusumbua na ignorant mindset za ujana wenu,, mtu yuko in his/her late 40's yuko lonely vibaya mno,, kisa upuuzi kama huu,,, mwanaume if u can't take risks ( huna tofaut na juma lokole)
Shida unayo wewe!Unahitaji matibabu ya kisaikolojia. Una shida
***** imepenya eeeeh! Acha watu wafahamu ukweli wachague wenyewe.Big boys handle their shit.
Little boys scream...
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Duh Maneno kuntu haya...Tatizo wanawake ni watu wachoyo sana, walafi mno, wana tamaa sana, roho mbaya, wana chuki, wabinafsi, watu wenye mashindano, wasiotulia, wachawi, wasiowafikiria wengine Na ndoa ni biashara kwao
Halaafu wanaume ni watu wema sana, wapole, wenye kujitoa, watu wanaojali wengine, wenye kujinyima, wacha Mungu na ndoa kwao ni kutoa siyo kupokea.
Hivi vitu havichangamani.
No wonder shetaniana sifa za Mwanamke na Mungu wetu sifa za Mwanaume...
Kumpenda mwanamke ni Biashara isiyo na faida.
Wanawake wanapenda wao wapendwe hahahaaa
Mwanamme anaejipenda kwa Mwanamke ataitwa majina yotee mara mkimbia majukumu.
Nani alizaliwa akutunze wewe... Kwa lipi?
Huo mwili wa nyama una lolote la maana...
Pale wanaume wa sasa watakapodharau chochote cha Mwanamke uhuru unakaribia.
Wazee wetu hawakuwatambua wanawake kama Watu...
Mwanmme lazima awe strict na hawa viumbe...
Usimfanyie mwanamke jambo lolote ambalo linamnufaisha yeye in exchange of upuuzi ( ngono, eti baby, au vikisi)
Walivyo walafi wanakulaga matonge makubwa makubwa
Yes, wa kishua wengi wana upendo wa kweli kulinganisha na hawa wenye maisha ya kawaida.Cop mwenzangu kunywa soda nakuja kulipa,
Maswali ya kujiuliza ni km ifuatavyo?
Je misingi ya ndoa ni IPI? Je ni pesa? Na km jib ni hapana aje mdada pm nimuonyeshe maisha magumu mwenzangu uku anatafuta wa kuoa ampati maana hana ela. Nasema ivi kwasababu zifuatazo,
1. Akuna mdada cku izi mwenye ndoto ya kuolewa na maskini.
2. Ndoa nyingi zinafungwa na wanaume wenye ahueni ya maisha. Ukweli unao mwenyewe.
3. Wadada walio wengi wako tayar kuolewa na mwanaume yeyote mwenye ela wakati yupo anaempenda. Matokeo yake anaenda kuolewa na anaendelea kutoa penzi kwa x. Concl. Hata km unazo ela sio guarantee kwamba unapendwa cha kufanya tafuta mzigo kula rudi kafanye maendeleo yako.
#Conclusion Ndoa sio ajira wadada tafuteni kazi za kufanya na km unampenda mtu mpende akiwa maskini ivyo ivyo ili mkajenge maisha wote kuna raha yake.
Na mlio na maisha alaf amjaoa kulen tu maisha maana mko kwenye hatari ya kuoa gold diggers watakuja kuwaharibia maisha, na mkitaka kuoa nendeni mkaoe wanawake wenye maisha pia ambao wanatoka familia zenye maisha maana apo km akisema anakupenda afazali sio wakina mwaj ndala ndefu hawa awana akili walio wengi njaa zao ndio zitawaleta kwenu.
Point to note: mtoto wa kishua akikupenda anakupenda kweli.
Naomba kuwakilisha.
Yeah imechomoka so what? Ndio ni rijali, nawagonga ila sitaki kuoa una lingine?Kama wewe ni mwanaume kweli, I mean rijali basi kuna nati imechomoka[emoji848]
Andaa thread kuhusu ndoa Shekhe,Huku ukiwa kwenye plan ya kufungua ofisi ya ushaurii.Itapendeza zaidi.Shida sio kuoa, shida ni hatua gani tunachukua kabla ya kuoa.. mimi ni muislam dini yangu imenifundisha kuoa, ni mwanamke wa namna gani aolewe, ninapotaka kuoa nifanye nini mungu anifanyie wepesi..
Mtume s.a.w alisema, "DUNIA NI STAREHE, STAREHE ILIYO BORA ZAIDI NI KUMPATA MKE MWEMA"
tunapataje mke mwema ili tuwe kwenye kilele cha starehe ya dunia hapo ndio kwenye tatizo, na wengi tunafeli hapi.
Nina swahiba wangu nae anaitwa john haya yatamkuta muda wowote, kachukua mdangaji mjini. Kashindwa kutumia AKILI katumia MOYO kufanya maamuzi, ni habari ndefu kidogo.
Ifike hatua sasa "kuoa kuwe ni kwa wanaume wenye akili timamu tu"
Watu wajue,ukioa kwa nyege,uoe kwa kuangalia tako,uoe uonekane una pisi kali na sababu kama hizo ujue yatakukuta ya kukuta..
Lazima mtu ajue lengo haswaa la kuoa,"KWANINI UNAOA" jambo la msingi saana hili, wakati mwingine natamani nifungue hata ofisi ya ushauri kwa vijana kabla hawajaingia kwenye ndoa.
Akili haijakukaa vizuri USIOE.
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
[emoji27][emoji27] ukweli mtupuu...Tatizo wanawake ni watu wachoyo sana, walafi mno, wana tamaa sana, roho mbaya, wana chuki, wabinafsi, watu wenye mashindano, wasiotulia, wachawi, wasiowafikiria wengine Na ndoa ni biashara kwao
Halaafu wanaume ni watu wema sana, wapole, wenye kujitoa, watu wanaojali wengine, wenye kujinyima, wacha Mungu na ndoa kwao ni kutoa siyo kupokea.
Hivi vitu havichangamani.
No wonder shetaniana sifa za Mwanamke na Mungu wetu sifa za Mwanaume...
Kumpenda mwanamke ni Biashara isiyo na faida.
Wanawake wanapenda wao wapendwe hahahaaa
Mwanamme anaejipenda kwa Mwanamke ataitwa majina yotee mara mkimbia majukumu.
Nani alizaliwa akutunze wewe... Kwa lipi?
Huo mwili wa nyama una lolote la maana...
Pale wanaume wa sasa watakapodharau chochote cha Mwanamke uhuru unakaribia.
Wazee wetu hawakuwatambua wanawake kama Watu...
Mwanmme lazima awe strict na hawa viumbe...
Usimfanyie mwanamke jambo lolote ambalo linamnufaisha yeye in exchange of upuuzi ( ngono, eti baby, au vikisi)
Walivyo walafi wanakulaga matonge makubwa makubwa
Pole sanaa braza.Nami napitia ya hivi hivi na kwasababu zinazofanana
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Wenye shida ni wapi?Unahitaji matibabu ya kisaikolojia. Una shida