Nikiwaambia msioe muwe mnasikia; kwa miezi 4 mwamba kaishi maisha magumu bila mshahara kumbe mkewe ana laki 8 ndani, na usaliti juu kaambulia

Mbona kaongea ukweli.Eleza kakosea wapii Sio kujudge bila reason.Nati imechomoka Kwa kipi Kwani hayaonekani kwenye jamiii
Hawa wanawake wanatetea sana ndoa na kuzipigia promo kwa sababu wanajuaga tofauti na hapo hawana thaman nyingne yyte mbele ya mwanaume. Kiufupi ni kwamba "Marriage is a female institution, yu as a man you get nothing from it, yu have to sacrifice your dreams, ambition,time, etc"

Na ndo maa mwanaume akioa anaanza kukonda lakn mwanamke akiolewa anaaza kunenepa kwa sabab n kama kapata ajira/unafuu
 
Nakubali wewe ni mwana Liverpool mwenzangu ila unatoa ushauri usio kua na macho wala miguu sasa nisioe au unataka niende Mombasa nikawe shoga au?
Wewe ni ms€nge, kwani usipooa ndio unakuwa shoga? Watu mmekalia ubishi ubishi tu, mada ipo wazi nini usichoelewa?
 
Vijana oeni uhuni hauna faida haya uliyoandika ni maneno ya kujifariji tu.
Halafu nyie madingi miyeyusho kinoma, na ndio maana kwenye familia zingine mnapigwa makofi na vijana weni, hivi dingi gani wewe usiyefikiria??
 
Nyinyi ndo mnaokuja kwa therapy session kutusumbua na ignorant mindset za ujana wenu,, mtu yuko in his/her late 40's yuko lonely vibaya mno,, kisa upuuzi kama huu,,, mwanaume if u can't take risks ( huna tofaut na juma lokole)
Hongera bhana, wewe una tofauti, tuache sisi tusio na tofauti.
 
Duh Maneno kuntu haya...
 
Yes, wa kishua wengi wana upendo wa kweli kulinganisha na hawa wenye maisha ya kawaida.
 
Wote tuna yule ex unaweza kumchukua kwa mapenzi wake muda wowote ukitaka
 
Shida sio kuoa, shida ni hatua gani tunachukua kabla ya kuoa.. mimi ni muislam dini yangu imenifundisha kuoa, ni mwanamke wa namna gani aolewe, ninapotaka kuoa nifanye nini mungu anifanyie wepesi..

Mtume s.a.w alisema, "DUNIA NI STAREHE, STAREHE ILIYO BORA ZAIDI NI KUMPATA MKE MWEMA"

tunapataje mke mwema ili tuwe kwenye kilele cha starehe ya dunia hapo ndio kwenye tatizo, na wengi tunafeli hapi.

Nina swahiba wangu nae anaitwa john haya yatamkuta muda wowote, kachukua mdangaji mjini. Kashindwa kutumia AKILI katumia MOYO kufanya maamuzi, ni habari ndefu kidogo.

Ifike hatua sasa "kuoa kuwe ni kwa wanaume wenye akili timamu tu"

Watu wajue,ukioa kwa nyege,uoe kwa kuangalia tako,uoe uonekane una pisi kali na sababu kama hizo ujue yatakukuta ya kukuta..

Lazima mtu ajue lengo haswaa la kuoa,"KWANINI UNAOA" jambo la msingi saana hili, wakati mwingine natamani nifungue hata ofisi ya ushauri kwa vijana kabla hawajaingia kwenye ndoa.

Akili haijakukaa vizuri USIOE.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Andaa thread kuhusu ndoa Shekhe,Huku ukiwa kwenye plan ya kufungua ofisi ya ushaurii.Itapendeza zaidi.
 
[emoji27][emoji27] ukweli mtupuu...

Yote kuhusu mwanamke nayaona kwenye jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…