Nikiwaambia msioe muwe mnasikia; kwa miezi 4 mwamba kaishi maisha magumu bila mshahara kumbe mkewe ana laki 8 ndani, na usaliti juu kaambulia

Hii ipo Sana Sana Kwa hawa wanawake ma-graduates. Ambao wanaolewa Kwa kigezo cha kupunguza ukali wa maisha mitaani baada ya kugraduate na kumaliza chuo na kukosa Ajira
 
Hii ipo Sana Sana Kwa hawa wanawake ma-graduates. Ambao wanaolewa Kwa kigezo cha kupunguza ukali wa maisha mitaani baada ya kugraduate na kumaliza chuo na kukosa Ajira
Sasa kwanini mnaoa kama mnaelewa hili...!??

#YNWA
 
📌📌📌

#YNWA
 
Nakubali wewe ni mwana Liverpool mwenzangu ila unatoa ushauri usio kua na macho wala miguu sasa nisioe au unataka niende Mombasa nikawe shoga au?
Kutomb* hakuna uhusiano wowotee na ndoa.

#YNWA
 
...Ubovu wa mwanamke mmoja haihalalishi kuwa watu wasioe
You need some kind of psychological treatment young boy! Got me??

Read this 👇👇

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…