Nikiwaambia msioe muwe mnasikia; kwa miezi 4 mwamba kaishi maisha magumu bila mshahara kumbe mkewe ana laki 8 ndani, na usaliti juu kaambulia

Acheni kupotosha, ni sawa na mwanamke aolewe kisa mmewe analiwa na wanaume wenzie akaachana nae, na sisi tusiolewe tuseme nyote mnaliwa hiyo ni sawa?
 
Punguza makasiriko
 
Acheni kupotosha, ni sawa na mwanamke aolewe kisa mmewe analiwa na wanaume wenzie akaachana nae, na sisi tusiolewe tuseme nyote mnaliwa hiyo ni sawa?
Madam asilimia kubWa sanaa waliokwenye ndoa WANALALAMIKA na NDOA ZAO.

#YNWA
 
We jamaa umeongea kitu kizito katika hali ya utani...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
OENI WANAWAKE WACHA MUNGU, NA MUNGU ATAKUBARIKI SANA. MWANAMKE ANAYEGAWA KITANDA NI RAHISI KUKUUA.
 

Oooh Sawa itakuwaje
 
Matatizo ya ndoa siyo sababu ya kuwafanya ambao hawajaoa wasioe. Kumbuka matatizo ya ndoa yanaweza kutokana na mwanandoa mwanamke au mwanandoa mwanaume. Ushauri wa kuacha kuoa kwa sababu ndoa ziona matatizo, pia ni sawa wanawake kuamua kutoolewa kwa sababu wanawake wanapata matatizo katika ndoa. Asili mia kubwa ya ndoa ni za furaha tu. Chache ndiyo zenye matatizo. Wakati mwingine tunachukulia changa moto za ndoa kuwa matatizo. Wanandoa hamuwezi kuwa vicheko siku zote. Kuna wakati kunakuwa na matatizo madogo madogo na hiyo ni kawaida. Mtu unakosana na baba yako, mama yako, dada na kaka zako itakuwa mke au mume.
 
John ni famba anaondokaje kazini bila ruhusa! Tena serikalini ambapo ruhusa ziko nje nje.
 
John ni famba anaondokaje kazini bila ruhusa! Tena serikalini ambapo ruhusa ziko nje nje.
Kuna Maafisa Utumishi mKauzuu balaa...
Kutana na mwalimu aliyeajiriwa na certificate, akiwa kazini akasomaa Course ya HR then akawa ndio Afisa Utumishi..!!

Wanakuaga na Roho sijui zikojee..!!!
Wachoyo mpaka wa ruhusa..!!!

#YNWA
 
Na wote wanaamin haya haya ndo tunahitaji. Mke awe na kaz au pesa au hana! Sijui wanaume tutakomboleka lini kwenye huu utumwa! Yan wao ni software sisi ni hardware!
 
Kwa haya na mengine ninayoona, heri yangu nimeshapitisha muda wa kuoa, baada ya kutumia muda mrefu kwenye matibab ya wivu na ikashindikana!
Kwahiyo sitarajii kuwa na tatizo lisilohusu pesa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…