Nikiwaambia msioe muwe mnasikia; kwa miezi 4 mwamba kaishi maisha magumu bila mshahara kumbe mkewe ana laki 8 ndani, na usaliti juu kaambulia

#YNWA
 
Mbona kuna wanaume wengi vipato haviko sawa na wanaishi poa tu kwa kipato cha kuchangiana na wake zao.
Unapick mfano mmoja mbaya halafu unataka ndio uwe huo huo jukwaa liuamini.
Vipi kwa bwana obama ambae ameconfess mara kadhaa asingefika hapo alipo kama sio sapoti ya mke wake?
 
Mimi binafsi hicho kisa na vingine mfano wake haviwezi kunizuia kuoa , lakini nitavichulia kama funzo kwamba natakiwa nikae kwa password kwenye ndoa lakini father miyeyusho haikwepeki unaweza ukayakimbia kwenye ndoa na ukakutana nayo sehemu nyingine.

Shit will happen even if you do nothing or everything, you just stay alert
 

Huyo sasa ndo mwanaume
 

Wanawake wengi kwenye issue ya fedha ni changamoto
 
Wanawake wengi kwenye issue ya fedha ni changamoto
Hili sio wanawake tu mkuu, hata wanaume wanalo sana na ndio haya majizi yaliyo kaa kwenye serikali.

Kwenye level ya familia kinachofanya mwanamke aonekane ni ile dhana/utamaduni wa kwamba mahitaji ya familia ni jukumu la mwanaume kwa hiyo ndio hicho kinatubana tusioneshe tamaa yetu kwnye mitipula
 
You need some kind of psychological treatment young boy! Got me??
Mwamba ambae haamini unachoamini haimanishii hayuko sawa.
Ni mawazo tu mnatofautiana.

Usike dunia yenye watu Bil 7 iamini unachoona wewe ni sahihi.

Ni hayo tu.

#YNWA
 
Kwamba unafikiri tunaishi kwa kufata mkumbo ama? Hivi chapters za maisha zinafanana kumbe? Kisa umesoma humu basi? Halafu humu kuna some arrogant boys. Not even men. Mawashangaaga kweli. Ndo akili zenu hizi. Pole sana

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Unashangaa John kumfungulia duka mkewe lakini hushangai John kumzawadia nyumba nkewe baada ya kugundua mkewe ana hawala!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…