Nikiwaambia msioe muwe mnasikia; kwa miezi 4 mwamba kaishi maisha magumu bila mshahara kumbe mkewe ana laki 8 ndani, na usaliti juu kaambulia

Nyinyi ndo mnaokuja kwa therapy session kutusumbua na ignorant mindset za ujana wenu,, mtu yuko in his/her late 40's yuko lonely vibaya mno,, kisa upuuzi kama huu,,, mwanaume if u can't take risks ( huna tofaut na juma lokole)
Hebu soma comment za watu humu wameeleza wapitiayo.
Bora ignorant mind inifikishe uzee kuliko best mind ya kuoa iniue mapema kisaa ndoa.
Raia wanauana, magunia ya mkaa wanachomana FOR WHAT BIG MIND?

#YNWA
 
BLUE IS THE COLOUR!
Kubebwa na shangazi yenu athony taylor ndo kuliwapa ile point moja anyway the game its not over yet MTAKUJA DARAJANI ila nawakumbusha mje na huyo shangazi yenu otherwise mtakula za norwich city umenipata mr MR LIVERPOOL.

Twende kunako mada sasa mzee baba wahenga walinena AISIFUYE MVUA IMEMNYESHEA kiufupi its very hard to trust kama hujapita kwenye ndoa, binafsi niliteseka kupita maelezo aisee hakuna binti wa kunifanya nikawa mpuuzi kuhusu ndoa na ni never mimi ni CHELSEA chelsea na MIMI over ktbffh.
 
Watu wanapata ajali wanakufa lakini hawaachi kutumia magari. Maisha lazima yaendelee
 
Unashangaa John kumfungulia duka mkewe lakini hushangai John kumzawadia nyumba nkewe baada ya kugundua mkewe ana hawala!
Angemnyanganya nyumba mkewe mwanae angeishi wapi
 
Kwa kweli they just love ur wallet. Wee wagegede tuu alafu tafuta pisi kali mupya nyingine
 
Angemnyanganya nyumba mkewe mwanae angeishi wapi
Kwani huyo mtalaka wake akifa mwanae ataishi wapi?

Na hiyo anayojenga sasa nayo akimfumania mkewe mtarajiwa atamzawadia, itakuwa mwedo wa kufumania na kuzawadia nyumba.
 

Muda ukaenda nikapata mwanamwali/

Nikamwomba awe mwenza wa maisha akakubali/

Nikamvisha pete, nikamlipia mahali/

Sikumpenda lakini nilijifunza kumjali/

Aliuliza kama nampenda nilimjibu/

Sikutaka kuweka moyo wake maumivu/

Sikutaka kuweka mtima wake solemba/

Kiasi aseme hatokuja kupenda forever/
 
Kuoa ni wito
 
I
Nika kusanya michangi ya harusi/

Nikatorka ughaibuni,kwenda kunfat njiwa wangu mahususu/

Nilivuka majangwa na majabari/

Sehemu ya safari anga/

Sehemu nyingine bahari/

Niliacha kila kitu nyuma /
Upendo na huruma vilinijaa penzi likanipereka mbali/
 
Oa au olewa na mtu anayeijuaaa akili yakooo pia awee rafiki yakoooo....
 
We mdada punguza roho mbaya...
Yaani bado unamshauri mwenzio aoe.

Kweli WATANZANIA hatupendani.

#YNWA
Unashauri wenzako wasioe kumbe wewe ushaoa kijana wangu acha uhuni

Unapata faida gan kulaghai wenzako???
Umeoa na Una mtoto mmoja kutwa kudanganya vijana wenzako wasioe

Acha uhuni lile shamba lako la miti na maembe unaendeleaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…