Nikiwaambia msioe muwe mnasikia; kwa miezi 4 mwamba kaishi maisha magumu bila mshahara kumbe mkewe ana laki 8 ndani, na usaliti juu kaambulia

Nikiwaambia msioe muwe mnasikia; kwa miezi 4 mwamba kaishi maisha magumu bila mshahara kumbe mkewe ana laki 8 ndani, na usaliti juu kaambulia

We jamaa utakua una shida mahali alafu unapretend uko sawa. Mwandiko wako tu unasadifu hayo.

Umekua kinara wa kukatisha tamaa watu wasioe..sijui unafaidika na nini kumtumikia shetani.
Mungu akusaidie sana maana seems una changamoto tusiyoijua..
Mkuu huyo dogo alitombewa mkewe
Ameadhirika kisaikolojia
 
Shameless... akili za kivulana hizi. Kwahiyo upuuzi wa mke wa john ndo unahalalisha ndoa ziwe batili? I swallow my words. Unashangaza sana. Yana ndo mnakaaga vijiweni munafarijiana hivi? U need some help

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Mkuu huyo dogo alitombewa mkewe sasa ile hali inamuuma akaanzisha kampeni rasmi hakuna kuoa
Halafu yeye ameoa na ana watoto
 
Mwamba ambae haamini unachoamini haimanishii hayuko sawa.
Ni mawazo tu mnatofautiana.

Usike dunia yenye watu Bil 7 iamini unachoona wewe ni sahihi.

Ni hayo tu.

#YNWA
Kama unalijua hilo kwa nn unahamasisha watu wasioe
Kama watu wanatofautiana??
Tena wapo billion 7 kwa hiyo unataka wasioe kama wewe
Acha uhuni wako kijana

Hakuna mtu amekuolazimisha uoe na hakuna mtu anamlazimisha mtu mwingine aoe

Tulia fanya kile kinacho kupa furaha ya maisha yako

Toa upumbavu wako hapo na kampeni yako ya kishetani
 
Kama unalijua hilo kwa nn unahamasisha watu wasioe
Kama watu wanatofautiana??
Tena wapo billion 7 kwa hiyo unataka wasioe kama wewe
Acha uhuni wako kijana

Hakuna mtu amekuolazimisha uoe na hakuna mtu anamlazimisha mtu mwingine aoe

Tulia fanya kile kinacho kupa furaha ya maisha yako

Toa upumbavu wako hapo na kampeni yako ya kishetani
Mbona sijakuelewa braza.....

Halafu relax "Ukiwa unajenga hoja na mtu ukaona huna cha kusema ila pia hukubali basi just kubali kutokukubaliana"

Huna haja ya kum "attack" mtoa mada.

Sasa mara unakubali mara Tena "MPUMBAVU" hebu kunywa castle lite then relax halafu tuendelee.

Kuoa Kuna faida gani ikiwa kama utafilisika mwisho wa siku utaachwa?

#YNWA
 
Yaan mkuu tangu yule mchungaji akutombee mkeo unafikiri wote wanatombewa kama wako???

Mi sijawahi kuoa braza.

Alikua girlfriend.

Na ukitoa yule nyuma yake Kuna mawili tukiachana baada ya kuwaambia "MI SITAKI KUOA, kama kupeana raha Sawa ila kuoa hapana"

Walivyoshindwa wakasepa then nikapata mbunye nyengine.

Nakataa kuoa ila pia NAKUWA WAZI KWA MTOTO WA WATU KWAMBA SITAKI KUOA, Achague yeye, kuendelea au kusepa.

Yaan mkuu tangu yule mchungaji akutombee mkeo unafikiri wote wanatombewa kama wako???
 
Yaan mkuu tangu yule mchungaji akutombee mkeo unafikiri wote wanatombewa kama wako???
Jifunze AGREEING BY DISAGREEING.
Huna haja ya kuattack personal leta hoja.

Kwanini UOE ila eti sijui we msenge, MPUMBAVU, fala, mjinga we, katombewa na maneno ya kumhit mtoa mada hayako poa.

Hata Mungu alipokutana na Shetani kumuongelea Ayubu, hakumtukana ila walitoleana hoja.

LEta hoja.

Kama huna na hukubaliana na mada basi agree to dis-agree.
Muachen jmn alitombewa mkewe sasa ile hali inamuuma akaanzisha kampeni rasmi hakuna kuoa
Refer to the comment above.

Mkuu huyo dogo alitombewa mkewe
Ameadhirika kisaikolojia
Refer to the comment above.

Mkuu huyo dogo alitombewa mkewe sasa ile hali inamuuma akaanzisha kampeni rasmi hakuna kuoa
Halafu yeye ameoa na ana watoto

Sijao ila Nina watoto wawili.

Mmoja naishi nae ila mwengine mama mtu kagoma.

Ila wiki hii nimeongea nae naona kama analegeza vile.

Maana kaniahidi mwezi wa 12 atamtuma home aje kunisalimia.

SITAKI KUOA MY CHILDS ARE ENOUGH.

🎉🎉🎉🎊🎊🥳🥳🥳

#YNWA
 
[emoji3516]
KAMA NA WEWE UNAKUBALIANA NAMI KUWA HII BUNILIZI NI CHAI KUTOKA KIWANDA CHA TATEPA,

NAKUPA MWALIKO KUWA NAENDA KUOA MKE WA TATU WIKI IJAYO.
Mwisho wa siku mnakomaa na maneno yenu KITANDA HAKIZAI HARAMU.

#YNWA
 
Hiyo ela yake ya vipodozi na kusuka.
Wanaume tutsfute hela kwa nguvu zote,
Sio kumnyanganya mkeo vihela vya mboga
Si mnaoa ili kusaidiana na 50/50 au kwenye pesa hakuna 50/50 na kusaidiana.

#YNWA
 
Cop mwenzangu kunywa soda nakuja kulipa,
Maswali ya kujiuliza ni km ifuatavyo?
Je misingi ya ndoa ni IPI? Je ni pesa? Na km jib ni hapana aje mdada pm nimuonyeshe maisha magumu mwenzangu uku anatafuta wa kuoa ampati maana hana ela. Nasema ivi kwasababu zifuatazo,
1. Akuna mdada cku izi mwenye ndoto ya kuolewa na maskini.
2. Ndoa nyingi zinafungwa na wanaume wenye ahueni ya maisha. Ukweli unao mwenyewe.
3. Wadada walio wengi wako tayar kuolewa na mwanaume yeyote mwenye ela wakati yupo anaempenda. Matokeo yake anaenda kuolewa na anaendelea kutoa penzi kwa x. Concl. Hata km unazo ela sio guarantee kwamba unapendwa cha kufanya tafuta mzigo kula rudi kafanye maendeleo yako.
#Conclusion Ndoa sio ajira wadada tafuteni kazi za kufanya na km unampenda mtu mpende akiwa maskini ivyo ivyo ili mkajenge maisha wote kuna raha yake.
Na mlio na maisha alaf amjaoa kulen tu maisha maana mko kwenye hatari ya kuoa gold diggers watakuja kuwaharibia maisha, na mkitaka kuoa nendeni mkaoe wanawake wenye maisha pia ambao wanatoka familia zenye maisha maana apo km akisema anakupenda afazali sio wakina mwaj ndala ndefu hawa awana akili walio wengi njaa zao ndio zitawaleta kwenu.
Point to note: mtoto wa kishua akikupenda anakupenda kweli.
Naomba kuwakilisha.
 
Eeeh bwana ehh ni Mimi Mr. Liverpool Tena.

Weekend hii tumempiga Manure na nyundo Kali sanaa mpaka kapoteana.!!
Sasa jiulize ile ilikua Old Traford, je wakija Anfield..!!!

Turudi kwenye mada ....

HIVI KWANINI HAMSIKII NIKIWAAMBIA MSIOE ??[emoji15][emoji15][emoji15]

Sasa Kuna mwenzenu yamemkuta huku ......

Nimemsikitikia sanaaa "Hiii BAGOSHAAAA" (in jiwe's voice)

Mr. Liverpool ni mfanyakazi na mkuu wa idara fulani katika moja ya Halmashauri nchini.

Ana rafiki yake nae ni mkuu wa Idara (kaimu) nyengine (tumuite John).

John kuna jambo alizingua mwezi wa 2 akapigwa SP (Due to Absentees - alisepa kazini wiki bila ruhusa Wala taarifa na aliondoka kiboya hasaa).

John aliishia miezi 4 bila mshahara (akipambana na nisamehe na kumbembeleza HR mpaka wakafungua mshahara, waliufungua mwezi wa 6).

Jana nikaona nipige na John story; "Alitoboa vipi maisha miezi 4 bila MSHAHARA" Tuliongea mambo mengii ila Kuna jambo kanisikitisha sanaaa.

Anasema ........

Kipindi hana mshahara ndio aliijua rangi halisi ya mkewe..!!
Kaishi na mkewe miaka 5 ila hakujua huyu mkewe yuko hivi..!!

Mwezi wa 4 ndio ulikua mwezi mgumu. Hali ilikua ngumu japo kwa nje hakuonyesha.

Alivyoona mambo magumu hasa ilibidi amshirikishe mkewe. Alimueleza kila kitu mkewe japo mkewe ana duka la mahitaji ya nyumbani ambalo alifunguliwa na John ila alimjibu hana kitu.

(John alioa mama wa nyumbani ila aliamua kumfungulia duka ili asiwe wa nyumbani kabisa..!!!)

Ikabidi John anyamaze tu "mtu gani kwenye biashara miaka miwili apati faidi ye kila siku anatangaza hasara?"
John alijiuliza mengi akaona anyamaze alale.

Maisha yalikua taiti, John alikosa hela ya bia na ya manhood (kulinda wallet).
Ye alikua ana hakikisha tu mwanae mmoja wa ndoa anakula na kufurahi.

Kumbe bana John alikua anapitia mengi kwa siri sanaa na hata kula alikua anakula mgahawa wa mbali ili tusimuone yule mzoea makuku ana kula maharage..!!!

Aliogopa aibu na maneno ya walimwengu.

Kuna siku hali ya ugumu ndio ilizidi alirudi home empty (kazini hakupata dili wala kaposho cha kikao).
Kukopa hataki (atalipa nini na hana mshahara?).

Kufika home akamshirikisha mkewe, mkewe akatoa jibu lile lile SINA HELA..!!!

Asubuhi ya siku ifuatayo ilifika aliwazaa akaona leo haendi kazini. Alimwacha mkewe aende dukani, John aliamua kufanya searching nyumba nzima.

Alikuta vifuatavyo:-

1. Kwenye begi la nguo lilikua limechanwa chini.
Alijiuliza begi jipya kuchanika..!! akakuta mule kwenye mchano Kuna vidonge vya uzazi na laki 3 kamili..!!!

2. Akainua godoro, kwa mwisho kwenye kono ya godoro akakuta kuna laki 5.

Akafanya searching kubwaa sanaa kwenye chumba chao cha kulala. Anakwambia alivyovigundua vilimfanya apate hasira hasaa.

Alitoka kwa hasira mpaka dukani kwa mkewe. Akamkuta mkewe anahudumia mteja, kuangalia simu akakuta haijajifunga (mkewe alikua akiangalia kitu YouTube)

John alizuga pale dukani akaiba ile simu akaenda kujificha ili aifanyie upekuzi.

Alivyoviona ........

1. Kumbe mkewe ana bwana ambae alikuaga mwanafunzi mwenzake chuo.

2. Na kwa kusoma sms, inaonyesha huyo jamaa ni X wa mke, na jamaa kapata Kazi mkoa huu huu tuliopo.

3. Mke wa John alimlipia jamaa kodi ya kuanzia maisha kazini na godoro alimnunulia.

3. Mke wa John anavyosemaga anaenda mjini kujumua vitu vya dukani huwa anashukia kwa mwamba ambacho ni chumba cha mke wa John na X..!!

4. Kwenye chatting ya WhatsApp inaonyesha X alimshauri mke wa John waache kutumia P2 ila mke awe anakula vidonge vya majira..!!!

Yaani John Ali screenshot kila chatting akajitumia WhatsApp.
Kwa kuonyesha ukatili hakufuta zile picha ili mkewe ajue kwamba John amejua.

Sasa haya yametokea Kati ya mwezi wa 4 mpaka wa 6.
John anasema anahitaji kuvunja ndoa.

Mke kuona John haitaki tena ndoa kakimbilia kanisani.
Mchungaji alimuita John, John alijibu "Mumewe huyo ni Michael (X)"

Mke akakimbilia kwa wazazi aombewe msamaha.
Wazazi wa mume na mke wamekaa, ila John anasema aliomba ili aelewe cha mtu basi yafanyike mazungumzo mengine na kwenye hayo mazungumzo Michael (X) awepo.

Ila Michael aligoma kabisaa kutimba kwenye usuluhishi na kwa taarifa ya mke pale alipokua anaishi Michael kahama na hajui kahamia wapi na namba za simu hazipatikani tena...!!!

John aligoma kumsikiliza yoyotee kwahiyo wazazi walisepa bila maelewano.

Nilichoshangaa sasa, anasema... Hajawahi kuongea na mtu juu ya hili ila Mimi kumuuliza mambo ya ku survive bila mshahara ndio kumemfanya animwagie yotee kama kushusha mzigo wa fikra..!!!

John haitaki tena ndoa na mpaka tunavyoongea hapa kasha file kesi ya talaka.

Kwake hajafika tokea mwezi wa 6 na nyumba haitaki tena.

John huenda kumchukua mwanae shule akitoka siku za Ijumaa huenda nae gheto lake jipya huku akimtaarifu mkewe "mtoto yupo kwangu".

Mshahara ulivyofunguliwa John kumbe kapanga chumba karibu kabisa na kwangu..!!

Kanunua vitu vichache vya kuanzia maisha.
Kaamua kumuachia mkewe nyumba tu aishi na mwanae.

Ye kaondoka na Shamba la Eka 10 na kiwanja chenye pagala..!! Hati ya nyumba kaacha kwa mkewe ye kaondoka na documents za kiwanja cha pagala na Shamba.

Kabla mahakama haijaamua John kashagawa mali na maisha yanasonga...!!!

Nilichofanya nilienda kupajua kwake alikopanga maana sasa Mimi ndio nimekua jirani yake..!!

Kwenye pagala lake anataka ajitahidi amalizie hata vyumba viwili ahamie maana maisha ya kupanga alishayasahau kabisaa.

TURUDI KWENU WANAUME WABISHI ......!!!!

Na hizi ndio ndoa zenu mnazokimbilia.

Mwamba alijifanya kupenda akamfungulia mpaka biashara kumbe POLE YAKE.

NIKIWAAMBIA MSIOE MUWE MNASIKIA.

Nani kakwambia kuwa wanakupenda?

Braza They love your wallet..!!

Huyu alimpenda John au alipenda pesa za John za kufungulia biashara??

Just hook with them halafu pita hivi kabla wallet haijaisha.

Ila man usisahau kuwezekeza kwenye Mali na akili (financial knowledge).

SECURE YOUR FINANCIAL FUTURE.

When You have ASSETS and FINANCIAL KNOWLEDGE, Then it's ENOUGH..!!!

PESA NDIO KILA KITU, Huoni ZILIVYOMUOKOA RAFIKI YANGU JOHN.

#YNWA
Daah inasikitisha sana kwakweli. Hawa viumbe wanatufanya wanaume tutafika mbinguni tukiwa tumechokaa sana.
IMG_20211025_191319_051.jpg
 
Ni phase hii tunapitia, kunakizazi kinakuja ndoa itakua inatafutwa kwa torch...kwa sababu namna ya watu (wanaume kwa wanawake)kufikiria imebadilika kama si kuongezeka...
Wanawake unaongezeka kiasi cha kujua mapungufu ya wanaume na kuwafanya ngazi ya maendeleo au punda wa kuwafikisha kwenye mafanikio yao...wanajua kabisa wanaume wako blinded kutokana na stereotypes zilizowekwa miaka nenda rudi....wanacheza karata zao vizuri haswaa...wanapata vyeo, wanapata utajiri, wanaishi maisha mazuri kwa njia hiyo...
'Jikaze kiume' ,'mwanaume gani unalalamika maisha magumu' 'big boys don't lament ' ni kauli zinazotolewa ili upate aibu, ukapigike yeye ateleze tu, huku yeye huoni hata cent tano yake...
Wanawake wengi(hata humu) wanang'ang'ania ndoa kwa sababu inafaida kubwa kwao...ukiona mtu anakukazania uingie kwenye jambo fulani/fursa fulani ili unufaike, jua kabisa wewe ndio fursa...

Wanaume nao wanafumbuka macho miaka ya karibuni, (kwa sababu ya msoto)...wengi wameanza kufanya transactions(kama wanawake)...unanipa ninachotaka na mimi ninakupa unachotaka e.g unanipa sex nnakupa hela, kulea watoto bila kuwaweka kuwa ndio fimbo ya kunyonywa n.k.

Swali kubwa hapa ni, ndoa inafaida gani kwa mwanaume??
 
[emoji23][emoji23][emoji23]jaman si amesema hajawahi kuoa
Heheheh kwa kwel ndo ukubwa huo amna namnaa

He is very arrogant mkuu. Yaan ukiangalia kwa makini unaona uvulana mwingi ndani yake. Tumpe pole

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app

Sijao SIHITAJJ KUOA KABISAAA

ila Nina watoto wawili.

Mmoja naishi nae (5 Yrs) na mama ake kaolewa ana maisha yake.

Ila mwengine/wa pili mama ake kagoma kunipa kwasababu ana mwaka na miezi 10 (Dec/2019).

Ila wiki hii nimeongea nae naona kama analegeza vile.

Maana kaniahidi mwezi wa 12 atamtuma home aje kunisalimia.

Nilichomuomba nae akiolewa anipe Mimi mtoto yeye akatafute wengine na huyo mume wake atakaye mpata.

SITAKI KUOA MY CHILDS ARE ENOUGH.

Siamini kama kupinga kuoa ni "Arrogant boy" maana hata huyo Tajiri wa India Rajan alishawahi sema "mahusiano hupunguza akili"

Kwahiyo kwa kauli hii ya Tajiri wa India nikisema nilinganishe mafanikio na akili basi ina maana miss pablo HUNA AKILI maana yeye hana mahusiano NI TAJIRI..!!!

Lakini pia hata Bill gate na Bezos walishawahi nukuliwa "Nimeachana na ndoa kwasababu inanibana sanaa"

Wali maanisha NDOA zinafanya wasi concentrate na Mali zao.

Kwa staili hiyo..

Nikisema nii oppose hoja yako na opinion zao basi miss pablo NDOA INAKUCHELEWESHA SANAA.

Matajiri wakina Dangote, Bill gate, na Benzos walishtuka kwa kuchelewa na kuachana na ndoa.

Ni hayo Tu.

#YNWA

#YNWA
 
Sijao SIHITAJJ KUOA KABISAAA

ila Nina watoto wawili.

Mmoja naishi nae (5 Yrs) na mama ake kaolewa ana maisha yake.

Ila mwengine/wa pili mama ake kagoma kunipa kwasababu ana mwaka na miezi 10 (Dec/2019).

Ila wiki hii nimeongea nae naona kama analegeza vile.

Maana kaniahidi mwezi wa 12 atamtuma home aje kunisalimia.

Nilichomuomba nae akiolewa anipe Mimi mtoto yeye akatafute wengine na huyo mume wake atakaye mpata.

SITAKI KUOA MY CHILDS ARE ENOUGH.

Siamini kama kupinga kuoa ni "Arrogant boy" maana hata huyo Tajiri wa India Rajan alishawahi sema "mahusiano hupunguza akili"

Kwahiyo kwa kauli hii ya Tajiri wa India nikisema nilinganishe mafanikio na akili basi ina maana miss pablo HUNA AKILI maana yeye hana mahusiano NI TAJIRI..!!!

Lakini pia hata Bill gate na Bezos walishawahi nukuliwa "Nimeachana na ndoa kwasababu inanibana sanaa"

Wali maanisha NDOA zinafanya wasi concentrate na Mali zao.

Kwa staili hiyo..

Nikisema nii oppose hoja yako na opinion zao basi miss pablo NDOA INAKUCHELEWESHA SANAA.

Matajiri wakina Dangote, Bill gate, na Benzos walishtuka kwa kuchelewa na kuachana na ndoa.

Ni hayo Tu.

#YNWA

#YNWA
MY CHILDS ARE ENOUGH NDO NINI[emoji706][emoji706][emoji706]
Halaf acha kujifananamisha na matajiri kujifariji. Nyie ndo mukiumwa hamna anayeeleweka katika kuwauguza

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom