Nikiwaangalia dada zangu walivyo warembooo....dah!

una haki gani ya kuwagombania dada zako. Sema kama unawataka.
Mkuu ndo hawa wale wanaoandika getini (mbwa mkali) kwa kasabu tuu kuna warembo!!!ikifika mda wa kuolewa umepitiliza wanaandika tunauza ice crem!!!
 
kumbe wanaitwa somebody kiria.. ngoja niwagoogle naweza kumpata mmojawapo kwa social network
 
watu Mna majibu mabovu nini kosa la mleta Uzi? hivi hujawai kuwaza kitu kama hicho bila kuwaza ngono? acheni Maneno sisi wote ni binadamu kuwaza ni kawaida

mfano unaweza kuwa unatamani mwanaume mrefu gentle ila kila unaekutana nae ndio kama hivyo ila ukiwaza ukoo wenu mijikaka imepanda, body balaa ,ki ubinadamu lazima uwaze binti atakaeolewa kwenu ana bahati. acheni mambo ya kuhusishanisha hili swala na ngono, wewe unaweza kimtamani Dada yako au kaka yako kingono?
Mrengo fulani wa dini huruka na mabinamu na watoto wa mama mdogo.. Miksa ndoa kabisa! Sitashangaa kusikia kuna tamaduni zinaruhusu 'incest'
 
Duh,hivi unaweza kuona urembo wa Dada ako?? Mimi marqfiki zangu ndo walikuwa wanawasifia Dada zangu ila mm sikuwahi kuona uzuri wao,nawaona wa kawaida sana, nilikuwa nawaona wazuri Dada wa wenzangu,nahisi ni kibaiolojia zaidi, sasa ww ushaanza kuthaminisha urembo wa Dada zako ,kuna siku utawachungulia chooni
Sidhani kama kuna ubaya kuwasifia dada zako, hiyo haiondoi ukweli kuwa ni wazuri na warembo. Sisi tusio na madada tumekosa bahati ya kuona dada zetu wakianza dating, sijui ningekuwa na wivu kiasi gani..teh!
 
Aiseee,sijui niseme ni kitu gani chema kipo katika ukoo wetu maana nimebarikiwa kuwa na wadada wazuri mpaka nikiwatazama....dah!

Huwa najiuliza hivi huyo kidume atakae muopoa sister halafu nikasikia amemtenda sijui itakuaje maana kunae chalii mmoja alimletea mashauzi sister angu mmoja tulipiga hadi akalazwa siku tano,,

SASA ATAKAE OA DADA AKAMUACHA ATAJUA KWANINI NI UKOO WA KIRIA. hasa huyu chalii naniiii....tunamuwinda sana
Waoe basi, halafu mnapiga maboya. Natamani ningekuwa mimi halafu mlete "fyoko" ningeoa wote hadi nyie kaka zake.
 
Naona unawatafutia waume kijanja, nawasiwasi wamewadodea nyumbani.
 
watu Mna majibu mabovu nini kosa la mleta Uzi? hivi hujawai kuwaza kitu kama hicho bila kuwaza ngono? acheni Maneno sisi wote ni binadamu kuwaza ni kawaida

mfano unaweza kuwa unatamani mwanaume mrefu gentle ila kila unaekutana nae ndio kama hivyo ila ukiwaza ukoo wenu mijikaka imepanda, body balaa ,ki ubinadamu lazima uwaze binti atakaeolewa kwenu ana bahati. acheni mambo ya kuhusishanisha hili swala na ngono, wewe unaweza kimtamani Dada yako au kaka yako kingono?
THIS IS JF NA ITABAKI KUWA JF...APEWE MAJIBU AINA YOTE TU
 
Aiseee,sijui niseme ni kitu gani chema kipo katika ukoo wetu maana nimebarikiwa kuwa na wadada wazuri mpaka nikiwatazama....dah!

Huwa najiuliza hivi huyo kidume atakae muopoa sister halafu nikasikia amemtenda sijui itakuaje maana kunae chalii mmoja alimletea mashauzi sister angu mmoja tulipiga hadi akalazwa siku tano,,

SASA ATAKAE OA DADA AKAMUACHA ATAJUA KWANINI NI UKOO WA KIRIA. hasa huyu chalii naniiii....tunamuwinda sana

!
!
Vipi kuhusu vipenyo na vina vya vipapa wemba vyao.
 
Duh,hivi unaweza kuona urembo wa Dada ako?? Mimi marqfiki zangu ndo walikuwa wanawasifia Dada zangu ila mm sikuwahi kuona uzuri wao,nawaona wa kawaida sana, nilikuwa nawaona wazuri Dada wa wenzangu,nahisi ni kibaiolojia zaidi, sasa ww ushaanza kuthaminisha urembo wa Dada zako ,kuna siku utawachungulia chooni

Vyooni???? Ukimaanisha nini??? Kuweka Cctv kamera chooni au kufanya nini?? Uzuri wa mtuu unaangaliwa na nn kwani?? Dada zangu lazima niwaambie ukweli ili wakija kusifiwa nje wasione kitu kipya wachukulie kawaida tu
 
Duh, nawewe utakubali upewe kichapo endapo ukimtenda dada wa mwenzako?
 
Aiseee,sijui niseme ni kitu gani chema kipo katika ukoo wetu maana nimebarikiwa kuwa na wadada wazuri mpaka nikiwatazama....dah!

Huwa najiuliza hivi huyo kidume atakae muopoa sister halafu nikasikia amemtenda sijui itakuaje maana kunae chalii mmoja alimletea mashauzi sister angu mmoja tulipiga hadi akalazwa siku tano,,

SASA ATAKAE OA DADA AKAMUACHA ATAJUA KWANINI NI UKOO WA KIRIA. hasa huyu chalii naniiii....tunamuwinda sana
KWA TABIA ZAKO HIZO UTASHANGAA UUME WAKO UNAPOTEA TARATIBU TARATIBU
 
Piga picha kuanzia mapaja na miguuni kiujumla tuone
 
Hizo muvi unazongaalia zishakuarib had leo bado una storri
 
We utakuwa na Psychological Problems usije kuwa Gegeda tuu maana hamuchelewi mbona dada wa wenzio unakula?
 
Sidhani na wala sijawahi kufikiri kaka mtu anaweza kuona au kuuelezea uzuri alio nao dada yake
Halafu akitendwa au asipotendwa we inakuhusu nini
Aachwe au asiachwe we inakuhusu nini
Urembo sio tabia njema
 
Duh,hivi unaweza kuona urembo wa Dada ako?? Mimi marqfiki zangu ndo walikuwa wanawasifia Dada zangu ila mm sikuwahi kuona uzuri wao,nawaona wa kawaida sana, nilikuwa nawaona wazuri Dada wa wenzangu,nahisi ni kibaiolojia zaidi, sasa ww ushaanza kuthaminisha urembo wa Dada zako ,kuna siku utawachungulia chooni
Bado unao hao madada?
 
Back
Top Bottom