Nikiwaangalia dada zangu walivyo warembooo....dah!

Nikiwaangalia dada zangu walivyo warembooo....dah!

1473324368430.jpg
 
Embu tuwekee picha zao tuthibitishe kama kweli
 
Naona unawapigia dada promo upate shemej mapema. Best of luck
 
huu wivu unatoka wapi au ulishaanza kunufaika na mazao yako
 
Nadhani utahamia kwa shemejio kwa wivu wa dada zako.
 
Endelea kuwaonea hao maboyaa,, harafu bado kavulana,,Dada zako na we unajihushaa
 
Back
Top Bottom