Nikiweka sakafu haitaleta shida?

Nikiweka sakafu haitaleta shida?

Tangu umechapia imekutwa na mvua za misimu mingapi? kama bado jitajidi kufuta kwajuu ili mvua ikipiga maji yateleze kwene ukuta nayasiingie baina ya plasta na tofali hii kuna muda inasababisha plasta kuachiana na tofali ,unakuta plasta ukiigonga inalia kama ngoma
Au wapige plasta ya juu kwenye ncha ya tofali kama wananyoosha kopo.
Kuhusu chini amwage zege tu sio floo, akiweka floo itapasuka sana ikipigwa na mvua baadae jua kali
 
Na sijaelewa kwanini mdau anajenga nyumba kwa style ya kwenda nyuma kurudi mbele?

Yaani hajapaua yeye amepiga plaster ameshaweka grilles still hajapaua anataka tena apige sakafu kwani mkuu raylin ni nini kinakufanya ukwepe kuweka paa?maana hapo unaenda kupata hasara ya plaster kama hujaezeka mapema.
Huyo muache tu, hapo muda si mrefu atapiga tiles, atapiga na rangi atafanya na wiring kabisa anaweka umeme. Bati litakuja tu mbeleni, kwanza bati sio lazima😂

ukisikia kisengelenyuma ndio hii
 
View attachment 3094747

Wakuu kwema naombeni ushauri, hilo ni pagale langu nimepiga plasta nimeweka grills na mageti bado sijahezeka ila ninampango wa kuhezeka mwakan nauliza niliweka rafu floor haitokua shida asanten
Mimi kabla ya yote naomba kufahmi sababu za kupiga plasta kabla ya kuezeka? Mana kwenye kuezeka kuna masuala ya kutindua ukuta kidogo sehemu ya kuweka kenchi kama kutakuwa na mpishano.

Pia, je umeweka na mabomba ya umeme tayari au umepiga plasta kabla ya mabomba?
 
Mkuu nipangishe hivo hivo ntafunga mapazia juu acha mbingu ziwe shahidi
 
Ninacho kitaka ni kuzuia nyasi kuota humo ndani huku nikiendelea kutafuta rla ya kuhezeka mkuu
Sasa,kama hela ya usafi haipo,si utafute hata dawa ya kuua magugu? Maana kwa wazo ulilo nalo,labda umwage zege. Vinginevyo,ukiweka sakafu,bila hata kujua utawezeka lini,ni kuharibu tu
 
View attachment 3094747

Wakuu kwema naombeni ushauri, hilo ni pagale langu nimepiga plasta nimeweka grills na mageti bado sijahezeka ila ninampango wa kuhezeka mwakan nauliza niliweka rafu floor haitokua shida asanten
Ujenzi aina hii waswahili hawaupendi, hawajauzoea ama wanauogopa.

Nilianza kuona kwa mara ya kwanza kwa Wajerumani walikuja nchini kujenga hospitali za Jeshi.

Wanaanza msingi mrefu sana wa kuweza kuishia binadamu mtu mzima, linafuata boma mpaka lipu ndiyo wanapaua, tena boma la urefu wa kawaida wa 'kozi' 10.

Tiles na kufitisha top za milango walikuwa wanaweka baada ya kupaua na hakuna tatizo.

Hapo mkuu anza kupaua kwanza ndiyo umalizie na sakafu.

Rafu unayoiongea wewe itapendeza kukiwa na paa juu, kisha zingatia ratio, itakuwa tu safi zaidi.

Hongera kwa kutimiza ndoto zako.
 
Huyo muache tu, hapo muda si mrefu atapiga tiles, atapiga na rangi atafanya na wiring kabisa anaweka umeme. Bati litakuja tu mbeleni, kwanza bati sio lazima😂

ukisikia kisengelenyuma ndio hii
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kisengelenyuma ni nini maana yake?
 
View attachment 3094747

Wakuu kwema naombeni ushauri, hilo ni pagale langu nimepiga plasta nimeweka grills na mageti bado sijahezeka ila ninampango wa kuhezeka mwakan nauliza niliweka rafu floor haitokua shida asanten
acha hizo Unawekaji madirisha nyumba haina Bati?Unwekaji sakafu nyumba haina Bati?Anyway Hongera kwa kujenga
 
Asante mkuu, nashukuru kwa kuelewesha umma ngoja nijikakamue niezeke kabla ya kueka hiyo rough frool 🙏
Ujenzi aina hii waswahili hawaupendi, hawajauzoea ama wanauogopa.

Nilianza kuona kwa mara ya kwanza kwa Wajerumani walikuja nchini kujenga hospitali za Jeshi.

Wanaanza msingi mrefu sana wa kuweza kuishia binadamu mtu mzima, linafuata boma mpaka lipu ndiyo wanapaua, tena boma la urefu wa kawaida wa 'kozi' 10.

Tiles na kufitisha top za milango walikuwa wanaweka baada ya kupaua na hakuna tatizo.

Hapo mkuu anza kupaua kwanza ndiyo umalizie na sakafu.

Rafu unayoiongea wewe itapendeza kukiwa na paa juu, kisha zingatia ratio, itakuwa tu safi zaidi.

Hongera kwa kutimiza ndoto
 
Yah nimeweka kila kitu bomba na zile soketi pamoja na wireling ya maji pia tayari, plan zangu zilikua nikimaliza niezeke chumba kimoja then niamie nikijikusanaya kufunika Kate, sasa mipango sio matumizi, nika hamishwa kituo cha kazi nw nipo moro mjini hyo nyumba ipo masas
Mimi kabla ya yote naomba kufahmi sababu za kupiga plasta kabla ya kuezeka? Mana kwenye kuezeka kuna masuala ya kutindua ukuta kidogo sehemu ya kuweka kenchi kama kutakuwa na mpishano.

Pia, je umeweka na mabomba ya umeme tayari au umepiga plasta kabla ya mabomba?
M
 
Naona huko hamna vibaka.

Alafu kwanini unaanzia mbele badala ya kuanzia nyuma,?
 
Back
Top Bottom