mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,057
- 41,992
BarikiwaShukrani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BarikiwaShukrani
Au wapige plasta ya juu kwenye ncha ya tofali kama wananyoosha kopo.Tangu umechapia imekutwa na mvua za misimu mingapi? kama bado jitajidi kufuta kwajuu ili mvua ikipiga maji yateleze kwene ukuta nayasiingie baina ya plasta na tofali hii kuna muda inasababisha plasta kuachiana na tofali ,unakuta plasta ukiigonga inalia kama ngoma
una changamoto gani kichwani kwako ray? mbona majina ya kina ray mnakuwa na shida sana?Asante mkuu mungu akubaliki
Sijahezeka❎View attachment 3094747
Wakuu kwema naombeni ushauri, hilo ni pagale langu nimepiga plasta nimeweka grills na mageti bado sijahezeka ila ninampango wa kuhezeka mwakan nauliza niliweka rafu floor haitokua shida asanten
yah ndo hiyo wanaita kufutaAu wapige plasta ya juu kwenye ncha ya tofali kama wananyoosha kopo.
Paa upae nayo, bila shaka we ni mdogo wake leonardoNitumie mimi hela ya paa nipae nayo
Huyo muache tu, hapo muda si mrefu atapiga tiles, atapiga na rangi atafanya na wiring kabisa anaweka umeme. Bati litakuja tu mbeleni, kwanza bati sio lazima😂Na sijaelewa kwanini mdau anajenga nyumba kwa style ya kwenda nyuma kurudi mbele?
Yaani hajapaua yeye amepiga plaster ameshaweka grilles still hajapaua anataka tena apige sakafu kwani mkuu raylin ni nini kinakufanya ukwepe kuweka paa?maana hapo unaenda kupata hasara ya plaster kama hujaezeka mapema.
Kuhezeka=kuezekaView attachment 3094747
Wakuu kwema naombeni ushauri, hilo ni pagale langu nimepiga plasta nimeweka grills na mageti bado sijahezeka ila ninampango wa kuhezeka mwakan nauliza niliweka rafu floor haitokua shida asanten
Nilishangaa mahali fulani kukuta madirisha yanawekwa kabla ya kupaua. Nahisi atakuwa maeneo yenye utaratibu wa namna hiyo.Kumbe inawezekana kuweka grill kabla ya kuezeka.....
Mimi kabla ya yote naomba kufahmi sababu za kupiga plasta kabla ya kuezeka? Mana kwenye kuezeka kuna masuala ya kutindua ukuta kidogo sehemu ya kuweka kenchi kama kutakuwa na mpishano.View attachment 3094747
Wakuu kwema naombeni ushauri, hilo ni pagale langu nimepiga plasta nimeweka grills na mageti bado sijahezeka ila ninampango wa kuhezeka mwakan nauliza niliweka rafu floor haitokua shida asanten
Sasa,kama hela ya usafi haipo,si utafute hata dawa ya kuua magugu? Maana kwa wazo ulilo nalo,labda umwage zege. Vinginevyo,ukiweka sakafu,bila hata kujua utawezeka lini,ni kuharibu tuNinacho kitaka ni kuzuia nyasi kuota humo ndani huku nikiendelea kutafuta rla ya kuhezeka mkuu
Ujenzi aina hii waswahili hawaupendi, hawajauzoea ama wanauogopa.View attachment 3094747
Wakuu kwema naombeni ushauri, hilo ni pagale langu nimepiga plasta nimeweka grills na mageti bado sijahezeka ila ninampango wa kuhezeka mwakan nauliza niliweka rafu floor haitokua shida asanten
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kisengelenyuma ni nini maana yake?Huyo muache tu, hapo muda si mrefu atapiga tiles, atapiga na rangi atafanya na wiring kabisa anaweka umeme. Bati litakuja tu mbeleni, kwanza bati sio lazima😂
ukisikia kisengelenyuma ndio hii
acha hizo Unawekaji madirisha nyumba haina Bati?Unwekaji sakafu nyumba haina Bati?Anyway Hongera kwa kujengaView attachment 3094747
Wakuu kwema naombeni ushauri, hilo ni pagale langu nimepiga plasta nimeweka grills na mageti bado sijahezeka ila ninampango wa kuhezeka mwakan nauliza niliweka rafu floor haitokua shida asanten
Ujenzi aina hii waswahili hawaupendi, hawajauzoea ama wanauogopa.
Nilianza kuona kwa mara ya kwanza kwa Wajerumani walikuja nchini kujenga hospitali za Jeshi.
Wanaanza msingi mrefu sana wa kuweza kuishia binadamu mtu mzima, linafuata boma mpaka lipu ndiyo wanapaua, tena boma la urefu wa kawaida wa 'kozi' 10.
Tiles na kufitisha top za milango walikuwa wanaweka baada ya kupaua na hakuna tatizo.
Hapo mkuu anza kupaua kwanza ndiyo umalizie na sakafu.
Rafu unayoiongea wewe itapendeza kukiwa na paa juu, kisha zingatia ratio, itakuwa tu safi zaidi.
Hongera kwa kutimiza ndoto
MMimi kabla ya yote naomba kufahmi sababu za kupiga plasta kabla ya kuezeka? Mana kwenye kuezeka kuna masuala ya kutindua ukuta kidogo sehemu ya kuweka kenchi kama kutakuwa na mpishano.
Pia, je umeweka na mabomba ya umeme tayari au umepiga plasta kabla ya mabomba?
Kwenda kifala kinyume nyume🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kisengelenyuma ni nini maana yake?