Nikiziangalia Sura za Marehemu Gen. Musuguri, CDF Mstaafu Gen. Mabeyo na CDF wa sasa Gen. Mkunda naona ni za Kazi Kazi na Makamanda wa Kweli

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Mkuu wa Majeshi unatakiwa uwe na Sura za Kazi Kazi hasa kama za Marehemu Jenerali Musuguri, CDF Mstaafu Jenerali Mabeyo na huyu wa sasa Jenerali Mkunda. Mkuu wa Majeshi kamwe hupaswi kuwa na Sura laini laini ambazo zinachochea Kutabasamu na Kuchekacheka bali zinatakiwa ziwe Sura Ngumu na za Kazi tupu ili hata Adui akiziona tu ajue kuwa Shughuli anayo kwa JWTZ.

Ulale mahali pema peponi Babu yangu wa Kizanaki uliyenipenda tokea nikiwa Mtoto mdogo. Tutakukumbuka daima.
 

Sura haipigani vita mkuu, ilikuwa zamani! Sasa hivi vita ipo kwenye softwares
 

Hivi kuna uoano wowote wa sura na akili? Maana Mwamunyange, alikuwa anaonekana ni mtu mpole sana kwa sura. Sijui uanajeshi wake ukoje.

General David Musuguri, RIEP. Na aliyekuwa waziri wa ulinzi wakati wa vita ya Kagera, Edward Sokoine RIEP. Na wengine wote waliotangulia mbele ya haki. Sisi sote ipo siku tutakufa.
 
Huyo mmoja si alipanda kijanjajanja vyeo ili awe pale juu.

Ndio maana hakuwa anajiamini wakati watu wanataka kuchezea Katiba, kakaa wiki 2 anajiuliza mpaka watu wanamshtua wewe si ni wajibu wako kulinda Katiba!! Ndio anashtuka.
Yule mwamba nadhani humpati vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…