GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mkuu wa Majeshi unatakiwa uwe na Sura za Kazi Kazi hasa kama za Marehemu Jenerali Musuguri, CDF Mstaafu Jenerali Mabeyo na huyu wa sasa Jenerali Mkunda. Mkuu wa Majeshi kamwe hupaswi kuwa na Sura laini laini ambazo zinachochea Kutabasamu na Kuchekacheka bali zinatakiwa ziwe Sura Ngumu na za Kazi tupu ili hata Adui akiziona tu ajue kuwa Shughuli anayo kwa JWTZ.
Ulale mahali pema peponi Babu yangu wa Kizanaki uliyenipenda tokea nikiwa Mtoto mdogo. Tutakukumbuka daima.
Ulale mahali pema peponi Babu yangu wa Kizanaki uliyenipenda tokea nikiwa Mtoto mdogo. Tutakukumbuka daima.