Nikiziangalia Sura za Marehemu Gen. Musuguri, CDF Mstaafu Gen. Mabeyo na CDF wa sasa Gen. Mkunda naona ni za Kazi Kazi na Makamanda wa Kweli

Mwamunyange atabaki kuwa the best CDF ever! Wanajeshi watamkumbuka huyo siku zote, alinyoosha sana maslahi ya askari, mambo ya kukaa maiaka 15 bado private kwa sababu ya figisu za watu huyo aliyaondoa. Askari walipata migao ya vitendea kazi bora na kwa wakati.

Mbali na hayo huyo ni jasusi mbobezi, amefanya mambo makubwa sana akiwa kanali na mkuu wa kitengo fulani jeshini. Yangekuwa yanawekwa hadharani basi watu wangebaki midomo wazi.

Upande wa jeshi la polisi kule ni Said Mwema!!
 

Ndio maana niliuliza. Kuwa katili au mbabe sio sifa ya kuwa mjeda mzuri. Ingawa hii haina maana kati yao alikuwepo mtu wa aina hiyo.
Uongozi unaenda mbali zaidi. Unapoweza kuwashawishi watu wakafanya mambo makubwa bila kulazimisha au kutumia mabavu, basi umekuwa kiongozi bora.
Ndio maana nawaombea pumziko lenye amani General Musuguli na wale waliokuwa nao enzi zile wakati wanaipambania nchi yetu. Mungu aliye mwema daima, awape pumziko la amani.
 
Kwa afrika hakuna kitu.makamanda wa urusi wanasura laini laini lakini moto wanaowapelekea NATO(nchi 32)ni balaa.afrika Kila kitu tunategemea mabeberu,Hivyo,kuwa na sura ngumu Kwa kamanda hakusaidii
Ni kweli, lakini unazijua sura za warusi lakini mjomba 😅😅😅😅 wale jamaa wamepanda hewani juu alafu ni katili.
 
Uliwahi kumsikia Major General Budanov wewe? Huyu ni mkuu wa intelijensia ya jeshi la Ukraine. Jamaa mmoja mlaini tu usoni miaka 39. Ila kazi zake ni noma. Anafanikisha Kila mara mission zake Kule Russia. Russia wanamtafuta mwaka wa 3 huu.
Nb.
Sidhani kama ugumu wa uso ndo ukamanda. Ukamanda uko moyoni.
 
Mjinga huyo
Anajisifu tu eti mjukuu wa msuguri,sasa itamsaidia Nini.
 
Kwa afrika hakuna kitu.makamanda wa urusi wanasura laini laini lakini moto wanaowapelekea NATO(nchi 32)ni balaa.afrika Kila kitu tunategemea mabeberu,Hivyo,kuwa na sura ngumu Kwa kamanda hakusaidii
Vipi mkuu una undugu na "ambilikile mwasapire" aka babu liliondo nimekumbuka 13 years baki dah🤣
 
Huyo mmoja si alipanda kijanjajanja vyeo ili awe pale juu.

Ndio maana hakuwa anajiamini wakati watu wanataka kuchezea Katiba, kakaa wiki 2 anajiuliza mpaka watu wanamshtua wewe si ni wajibu wako kulinda Katiba!! Ndio anashtuka.
 
mngony 2015 alikuwa luteni generali hadi 2017, cheo ambacho alimpandisha ni kimoja tu ambacho ndio hicho kabla ya kumpa uCDF.
Niambie mwamunyange na mkunda walitoka kwenye vyeo vipi kabla ya kuwa CDF kama sio sana sana major general
 
mngony 2015 alikuwa luteni generali hadi 2017, cheo ambacho alimpandisha ni kimoja tu ambacho ndio hicho kabla ya kumpa uCDF.
Niambie mwamunyange na mkunda walitoka kwenye vyeo vipi kabla ya kuwa CDF kama sio sana sana major general
Alipandishwa lini ndio swali langu
 
Kama sura, wa sasa ni hamna kitu. Afadhali hata mboma.
 
mngony nishakuambia 2015 Hata nionyeshe hao wengine lini walipandishwa kuwa major general mpaka kuwa cdf
 
mngony nishakuambia 2015 Haya nionyeshe hao wengine lini walipandishwa kuwa major general mpaka kuwa cdf
 
mngony nishakuambia 2015 Haya nionyeshe hao wengine lini walipandishwa kuwa major general mpaka kuwa cdf
 
CDF alikua mwamunyange tuu, pengine successor wake angekua mwakibolwa

Mabeyo alikuwa chief military intelligence na alikuwa cheo sawa na mwakibolwa na umri mwakibolwa alikuwa mkubwa zaidi.
Niambie kwanini hakustahili kuwa cdf.
Huku mwamunyange alitokea JKT akiwa major general 2006
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…