Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Anamuona mlokole sana sababu ya ukimya wakeHaumjui huyo mzee mabeyo ndio maana unaropoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anamuona mlokole sana sababu ya ukimya wakeHaumjui huyo mzee mabeyo ndio maana unaropoka
Umekuja na ID zako zoote,kijana kweli wewe bado mtoto.
Mwamunyange atabaki kuwa the best CDF ever! Wanajeshi watamkumbuka huyo siku zote, alinyoosha sana maslahi ya askari, mambo ya kukaa maiaka 15 bado private kwa sababu ya figisu za watu huyo aliyaondoa. Askari walipata migao ya vitendea kazi bora na kwa wakati.Hivi kuna uoano wowote wa sura na akili? Maana Mwamunyange, alikuwa anaonekana ni mtu mpole sana kwa sura. Sijui uanajeshi wake ukoje.
General David Musuguri, RIEP. Na aliyekuwa waziri wa ulinzi wakati wa vita ya Kagera, Edward Sokoine RIEP. Na wengine wote waliotangulia mbele ya haki. Sisi sote ipo siku tutakufa.
Mwamunyange atabaki kuwa the best CDF ever! Wanajeshi watamkumbuka huyo siku zote, alinyoosha sana maslahi ya askari, mambo ya kukaa maiaka 15 bado private kwa sababu ya figisu za watu huyo aliyaondoa. Askari walipata migao ya vitendea kazi bora na kwa wakati.
Mbali na hayo huyo ni jasusi mbobezi, amefanya mambo makubwa sana akiwa kanali na mkuu wa kitengo fulani jeshini. Yangekuwa yanawekwa hadharani basi watu wangebaki midomo wazi.
Upande wa jeshi la polisi kule ni Said Mwema!!
Ni kweli, lakini unazijua sura za warusi lakini mjomba 😅😅😅😅 wale jamaa wamepanda hewani juu alafu ni katili.Kwa afrika hakuna kitu.makamanda wa urusi wanasura laini laini lakini moto wanaowapelekea NATO(nchi 32)ni balaa.afrika Kila kitu tunategemea mabeberu,Hivyo,kuwa na sura ngumu Kwa kamanda hakusaidii
Mjinga huyoUliwahi kumsikia Major General Budanov wewe? Huyu ni mkuu wa intelijensia ya jeshi la Ukraine. Jamaa mmoja mlaini tu usoni miaka 39. Ila kazi zake ni noma. Anafanikisha Kila mara mission zake Kule Russia. Russia wanamtafuta mwaka wa 3 huu.
Nb.
Sidhani kama ugumu wa uso ndo ukamanda. Ukamanda uko moyoni.
Mjinga huyo
Anajisifu tu eti mjukuu wa msuguri,sasa itamsaidia Nini.
Ukimkosoa atakuja na ID nyingine kukutukana.Anapendwa toka utotoni
Vipi mkuu una undugu na "ambilikile mwasapire" aka babu liliondo nimekumbuka 13 years baki dah🤣Kwa afrika hakuna kitu.makamanda wa urusi wanasura laini laini lakini moto wanaowapelekea NATO(nchi 32)ni balaa.afrika Kila kitu tunategemea mabeberu,Hivyo,kuwa na sura ngumu Kwa kamanda hakusaidii
Huyo mmoja si alipanda kijanjajanja vyeo ili awe pale juu.
Ndio maana hakuwa anajiamini wakati watu wanataka kuchezea Katiba, kakaa wiki 2 anajiuliza mpaka watu wanamshtua wewe si ni wajibu wako kulinda Katiba!! Ndio anashtuka.![]()
Septemba 2014 Meja Jenerali, lini alipandishwa kuwa Luteni Jenerali?Rais Kikwete awapandisha vyeo wanajeshi 7 kuwa Meja Jenerali
Taarifa kwa Vyombo vya Habari Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe Jakaya Mrisho Kikwete, kwa mujibu wa Kanuni za Majeshi ya Ulinzi, Ayaya 7.01 Kifungu cha (3) amewapandisha cheo Maafisa Saba (7) kutoka Brigedia Jenerali kuwa Meja Jenerali kuanzia Septemba 12...www.jamiiforums.com
Alipandishwa lini ndio swali langumngony 2015 alikuwa luteni generali hadi 2017, cheo ambacho alimpandisha ni kimoja tu ambacho ndio hicho kabla ya kumpa uCDF.
Niambie mwamunyange na mkunda walitoka kwenye vyeo vipi kabla ya kuwa CDF kama sio sana sana major general
CDF alikua mwamunyange tuu, pengine successor wake angekua mwakibolwa