Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
Ana mke
Ana mtoto
Anajitegemea
Anaingiza pesa
We unaemwita mwenzako muhuni usikute mpaka leo unaishi kwa baba yako.
Nina vyote kumzidi hadi fame japo sipo kwenye entertainment industry lakini najulikana kuliko huyu muhuni.
Namjua Nikki toka yuko MIST Iyunga Mbeya. Ni muhuni anaeforce attention wakati hana jipya. Game imemkataa, hiyo mistari yake na flow zake hakuna anaesikiliza miaka ya leo, tutamsikiliza FidQ na afande inatosha hakuna Nikki alichoongeza kwenye game wala atachopunguza akiondoka.
Alianza kulalamika sana kama demu wadau tuka-doubt ugumu wake sasa kasanda kabisa, well at least kaonyesha he was never real hata kama alitaka kick Kwa his coming projects basi ajue hapa ndio kaharibu kabisa.