Nikki Mbishi aamua kuacha Muziki Rasmi

Ana mke
Ana mtoto
Anajitegemea
Anaingiza pesa

We unaemwita mwenzako muhuni usikute mpaka leo unaishi kwa baba yako.

Nina vyote kumzidi hadi fame japo sipo kwenye entertainment industry lakini najulikana kuliko huyu muhuni.
Namjua Nikki toka yuko MIST Iyunga Mbeya. Ni muhuni anaeforce attention wakati hana jipya. Game imemkataa, hiyo mistari yake na flow zake hakuna anaesikiliza miaka ya leo, tutamsikiliza FidQ na afande inatosha hakuna Nikki alichoongeza kwenye game wala atachopunguza akiondoka.

Alianza kulalamika sana kama demu wadau tuka-doubt ugumu wake sasa kasanda kabisa, well at least kaonyesha he was never real hata kama alitaka kick Kwa his coming projects basi ajue hapa ndio kaharibu kabisa.
 

Haaaahaaa eti ''Nikki katangaza kustaafu" ivi unajua kustaafu wewe?AMESANDA hauwezi kustaafu utamaduni mpaka uguse udongo futi sita hapa inaonyesha uwezo wako wa kufikiri how can u retire living ya own life.
We are talkin bout him cuz tunamuona dogo anavurunda simply anarudishwa kwenye right track maana kesho angeweza kua sehemu ya utamaduni huu alafu tunamfundisha kua ukiamua kuishi kwenye mlengo huu usitangaze kukimbia kuna Emcee wenzake wanaujua msoto ila wanasonga kuonyesha kua Hip Hop sio muziki ni Maisha.
Nah hard feelin' hommie go n' tell ya fakin as* rapper Hip Hop z culture(total way of lyf) u cnt QUIT.
 
Me namtambua msanii kwa hits zake hewani , . tena zisiwe za kulalamikikia media kila mara .. toa track za ukweli then media zikubanie uanze kulalamika ...

Sio kila MTU no mainstream mkuu
Au hujui maana yake pia?
 

Yaaan sijui akama mnafikiria kwa masaburi au VP
Ts simple kaamua kuacha kufanya mziki haimaanishi hafanyi vitu vingine kuhusiana na hip hop
Guys camp on hip hop is note than musik so acheni kuropoka aaisee
Tatizo nn kama kaamua kutofanya nyimbo tena?who da fu.ck do u think u guys are?
Hamkumleta mjini so how da hell mnajifanya wajuaji kiivyo?
Ts simple "kama haikusaiidii na kama hauhusiki na anachofanya Nikki haitakusaidia so just shut the fu.ck up kwann upoteze muda na energy yako wakat hakusaidii na wala humsikilizi sababu unasema hajui?
 
Sasa kwa nn alalmikie media (na hapa ni directly watu kama clouds fm na wengine) ?

Hajalalamikia media kalalamika kwa kikwazo anachokiona that's t
Uwezo wako Wa kupambanua mbn mdogo hvyo?
 
Hajalalamikia media kalalamika kwa kikwazo anachokiona that's t
Uwezo wako Wa kupambanua mbn mdogo hvyo?

we ndo una uwezo mdogo unaeshindwa kuweka vitu quantitatively .. taja hicho ni kikwazo gani?
 

So Afande sele hip hop ?
 

haya hongera bwana maarufu
Teenager kama lemutuz
 
Huyu nikki mbishi amefanya nin kwe mzik huyo dogo anatafuta kiki tu
eti ana acha mziki haulipi mbona diamond tunaona mafanikio yake
 
Hiyo sauti ya jogoo si unaisikilizaga wewe na mvuta bangi mwenzio geto? Nani anaijua? Mnaijua wenyewe na bangi zenu

Mihadarati ya ukubwani inakufanya usichunge ulimi. Rudi huko kwenu ukacheze taarab na mama zako. Usishobokee vitu usivyovijua . utafumuliwa rinda na kitu chenye joto.

Hip hop imejengwa na nguzo 9. Kwa hiyo harakati zinaendelea.
 

Ghetto prisoners , hip hop is dead by Nas.
 
Tuliosoma Mbeya Universty of science and Technology tunamjua vzur huyu mtu lecturer mkuu mwenyewe ali salute kwa huyu baba malcom sembuse ww member wa jf....usikurupe tulia fatilia comments

Msambichaka ...
 
So Afande sele hip hop ?

Hapana taarab. Afande, Prof.J, FidQ FA na wengine baadhi waliochangia huu mziki ndio watakumbukwa Kwa mchango siku wakiondoka sio Huyu muhuni aliejaribu na kushindwa na kupiga kelele za "eti naacha muziki" dude huachi umefeli. Game imeku-sideline sio mapenzi yako ni game imekushinda.

Izzo B anamchango kwenye game kuliko huyu mlalamikaji kama demu.
 
Magwiji wakina nani taja nyimbo za hip hop zinazopigwa redioni

Radio gani. Na ya kazi gani. We can't be slaves to the radio stations
 

Attachments

  • 1420449347243.jpg
    11.2 KB · Views: 92
Huyu nikki mbishi amefanya nin kwe mzik huyo dogo anatafuta kiki tu
eti ana acha mziki haulipi mbona diamond tunaona mafanikio yake

Mshabikie diamond basi kwann unapoteza energy yako kwa Nikki?watu buana
 

Sijui unaongrlea mziki upi basi
Endelea kuwasikiliza wakina izzo b wala hukatazwi mkuu
 
Huwa siwafatiliagi hawa fake emcees,wanaharakati feki,pili hauwezi kunizuia kuongea kamwe,lil' man, when mi talk, 'ere weh yuh fi do,Shut your mouth, listen close, weh we come fi do.

Amalinze nakuelewa unaxhoongea but nahisi umesahau nguzo. Either nick anataka kuhamia nguzo nyingine. KRS one. Hip hop elements. Hata yesu alisema " kama wanafanya yetu basis wapo upande wetu". Kwa hiyo hakuna suala LA fake MCs. Industry ni moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…