Nikki Mbishi aamua kuacha Muziki Rasmi

Nikki Mbishi Naughty by Nature/sihitaji escort wala support ya director/sijachemka niko hot kama pepper/skukosi nkikutaka nakusaka kila chaka nakudaka/mbaka round about k/koo
 
Gwijimimi unaniacha...who is underground emc's and who is maistream?tunatumia vigezo gan kuwatofautisha? Toa mifano usiogope wataje ili nielewe hiphop is all about truth. ......naomba unielimishe

Dabo, gwiji sio mtu anaejibugi, labda nkishamdiss hapa ndo ataweza kukujibu tofauti ya underground na mainstream, buh accordin to my point of view, nikki mbishi sio underground, nikki mbishi ni broke mainstream rapper coz anajulikana na watu wengi lakn tatizo lake ni kwamba hana hela.. angekua underground mn na ww dabo tusingekua tunamjua nikki.. mainstream ni ubepari, unahitaji kua na stamina ili uendelee kukaa hapo juu, nikki hana stamina ndo maana ameporomoka na ndo maana ana acha game, no sorry ndo maana game imemuacha..
 
Gwijimimi unaniacha...who is underground emc's and who is maistream?tunatumia vigezo gan kuwatofautisha? Toa mifano usiogope wataje ili nielewe hiphop is all about truth. ......naomba unielimishe

Watoto wa tamaduni hao, wanajifanya wao wanaijua hiphop kuliko kila mtu hapa bongo.....Ndio maana niliacha kuwaelewa, mistari yao ni kudiss wasanii wenzao mwanzo mwisho utafikiri ndio wanawabania riziki......Na kushikana masikio kujiona wao ni kina Krs one kina common ilihali wakitoka kwenye geti la msasani club ni mabwegge tu wanadandia daladala kurudi home kwa baba wakati hao mafek wanaishi kwenye mijengo yao.

Kingine kushikwa masikio, mtu ana maisha magumu mwelekeo hana alafu anafatisha ushauri wa mtu kama Lindu eti hiphop is not about money kaza kichaa wangu kuna siku watakuelewa tu, anaekushauri dhiki anaiona kwenye tv tu, we mjinga umetoka singida umekuja kufanya game unaigiza unigga....mabwege sana hawa watoto alafu kelele nyingi njaa zikianza kuuma.
 

Bado hatujui hiphop..hiphop sio chuki hiphop sio unafiki hiphop ni ukweli kupendana btn artist kwa kukosoana katika tofauti ndogo ndogo....so Ara hiphop ya dunia me nahis bado inatatizo sehemu......
 

Matumbo me nachotaka tofautisha kati ya fake emcs na real emc's me staki mambo mengne....sihitaji kumdis mweusi. Mtengwa au mtamaduni...nisaidien tu kwa hilo kwa kuzingatia misingi na nguzo za hiphop...then after kelele zitaisha
 
 
Bado hatujui hiphop..hiphop sio chuki hiphop sio unafiki hiphop ni ukweli kupendana btn artist kwa kukosoana katika tofauti ndogo ndogo....so Ara hiphop ya dunia me nahis bado inatatizo sehemu......

Tatizo kubwa sana lipo, na tatizo linaletwa na baadhi ya watu kujiona superior, ile mtu kua arrogant, majivuno, afu ule wakati unajiona upo on top, kumbe kuna watu wanakuja from no wea wanakupita, unajikuta unaanza kutafta mchawi ni nani. arrogance, superiority complex, hypocrisy, jelousy na selfishness, kutokuappreciate kazi za watu wengine ndo result ya yote haya, ushawai kuangalia b.e.t awards ikipigwa ngoma ya t.i unawakuta wakina busta wanasmama wanaicheza, thats appreciation ushawai kumuona nikki anapreciate chochote kilichofanywa na msanii yeyote wa hip hop tofauti na one the incredible, mm nshamuona nikii wa pili akimpongeza stereo alivopata diigrii yake, tunatakiwa kubadilika, kuappreciate kitu anachofanya mtu, mtu akifanya kizuri na ww kubali afu ndo uaim kufanya vizuri zaidi yake..
 

Hapa tatizo ni moja MNA a little knwLadge about hip hop ila cha kushangaza nyie ndo waongeaji wakubwa
What ashame?
Kwani umeambiwa hip hop ni muzik tu?hawezi kufanya kitu kingine na bado akawa ndani ya utamaduni?
Guys mwacheni Nikki affanye anachojiskia as long as hakikuaffect sijui inachokuuma nn
 

Yani pamoja na kugugo bado umeshindwa hata kutetea majibu yako. Naomba unijuze kutokana na tafsiri yako, msondo ngoma ni wanahip hop au? Kama ndio ni kwa mini na kama sio ni kwanini?
 
Matumbo me nachotaka tofautisha kati ya fake emcs na real emc's me staki mambo mengne....sihitaji kumdis mweusi. Mtengwa au mtamaduni...nisaidien tu kwa hilo kwa kuzingatia misingi na nguzo za hiphop...then after kelele zitaisha

Mc ni mc as long as anafikisha ujumbe kwa hadhira....ni kama tv fake na tv original zote ni tv na zinaonyesha na sometimes fake zinakuwa rahisi kuzipata na kuzitumia kuliko original....kwangu kinachomata nipate nachotaka awe ni fake au real mc nainjoi tu.
 

Kwani rose muhando ni nani mpaka asidisiwe?umewah kuskia mlokole anashiriki tuzo za pombe?wema nae nani hasa?Obama anadisiwa Italia hvyo vinyongorota vyako?
Nikki disses fake always na ww no shabiki Wa hao wakina mikki mill ambao wanakopi kuanzia biti mpaka floor sa sijui unawaita hip hop kwa lipi hasa so sishangai kwann usimpondr Nikki wakati anawaumbua miungu wako wakina 50 cent Wa arusha kwa ufake wao
 
Yani pamoja na kugugo bado umeshindwa hata kutetea majibu yako. Naomba unijuze kutokana na tafsiri yako, msondo ngoma ni wanahip hop au? Kama ndio ni kwa mini na kama sio ni kwanini?

Niambie kwanza wewe kwanini hadija kopa ni msanii wako bora wa hip hop? Braza hatuongelei vigodoro wala baikoko humu, hii sio sehemu yako, umekosea mlango aise.. kuna thread zingine uko chini kaongelee mambo ya kina wema, uku hatujui bei za maweavin aise
 

We jamaa umeshindwa kutuelimisha kwa nini Afande hafanyi hiphop na Niki anafanya alafu unatulaumu tuna little knowledge kuhusu hiphop! usiwe kama yule mgoloko nash mc anayejiona krs1 kuzunguka kuelimisha hiphop wakati ata one two hawezi.
 
 

Nikishinda kila muda jf tumbo langu litashiba nyumbani kwako?
" angekua underground mn na ww dabo tusingekua tunamjua nikki.">>
Hii statement yakoinaonesha ni kias gani huna elimu ya kutosha kuhusu mainstream muzik and underground muzik
Unachopaswa kuelewa ni the difference btn two undergrounds terms
1st ni MTU am aye hajulikani
2nd underground stand for MTU am aye anaishi kwenye mfumo huoa
Kwa mfano kuna MTU kamtaja rakim Allah,immortal techniques,diabolics,Sean price,ac,ag,rusted jux na all MCs Wa vipers studio plus duck down music studio all lives in underground system n not mainstream(am real sure humfaham hata mmoja hapo sababu unafuatilia radios)
Twende kwa uhalisia
Unakumbuka when nas left the game then he came back with pdidy with hit like hate me now?
Have u ever seen the video?that was edited version
Have u ever seen the original version the dirty version?was clearly not nas's idea but management's sababu ya media u see
But do u remember alivyomchana jay z kwenye ether?(au hata huijui?)that shit was real underground
Shit that ril whyne wakina miki mill wenu hawawez kufanya sababu mifumo inawabana
Am sure umeqnza kumfaham common 2010 baada ya 'the people" but unajua anajulikana tokea lini?
Besides sikiliza the pipo ya common utajua nn naongea kuhusu underground
Much as gracias
 

Nilitegemea jibu ka hili na hasa likiwa katika mfumo wa swali. Umebaatika kujua knowledge na movement basi umeona umefahamu kilakitu. Kamuulize John, ni kwanini aliamua kubadilika? Walijaribu mpaka kufanya live, (nikajipa matumaini pengine watakaza kama "the roots") ila mwisho wa siku wanarudi mdogo mdogo walipokua wanapadiss alichongaga ngenga sana kuhusu TUNZO, leo kapewa aajikuta amesahau hata alichokiimba jana. Roho ilimuuma sana Rose muhando alipoanza kupokea Tunzo kabla yake. Amani ya bwana iwe nawe.
 

Kwahyo christian Bella -heshima kwa mama ni Mc nae?
 
We jamaa umeshindwa kutuelimisha kwa nini Afande hafanyi hiphop na Niki anafanya alafu unatulaumu tuna little knowledge kuhusu hiphop! usiwe kama yule mgoloko nash mc anayejiona krs1 kuzunguka kuelimisha hiphop wakati ata one two hawezi.

Sasa kama mlikua hamjui nini maana ya hip hop nini kiliwafanya muanze kumponda Niki wakat mnawasikiliza wakina Afande?
Now umeqnza kumponda nash Mc duuu
Let me ask u harakati zake ww zinakuhusu nn?
Yess ni mgoloko so what?
Kwann mnapenda kuongelea city ambavyo Hanna hata knwldge navyo?vinawasaidia nn hasa?
Kuna tuzo jf ya uchangiaji bora?
Listening is the best way to learn take t from me otherwise mtaendelea kua dumb as umuch know mlionao
God bless u guys
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…