Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gwijimimi unaniacha...who is underground emc's and who is maistream?tunatumia vigezo gan kuwatofautisha? Toa mifano usiogope wataje ili nielewe hiphop is all about truth. ......naomba unielimishe
Gwijimimi unaniacha...who is underground emc's and who is maistream?tunatumia vigezo gan kuwatofautisha? Toa mifano usiogope wataje ili nielewe hiphop is all about truth. ......naomba unielimishe
Dabo, gwiji sio mtu anaejibugi, labda nkishamdiss hapa ndo ataweza kukujibu tofauti ya underground na mainstream, buh accordin to my point of view, nikki mbishi sio underground, nikki mbishi ni broke mainstream rapper coz anajulikana na watu wengi lakn tatizo lake ni kwamba hana hela.. angekua underground mn na ww dabo tusingekua tunamjua nikki.. mainstream ni ubepari, unahitaji kua na stamina ili uendelee kukaa hapo juu, nikki hana stamina ndo maana ameporomoka na ndo maana ana acha game, no sorry ndo maana game imemuacha..
Watoto wa tamaduni hao, wanajifanya wao wanaijua hiphop kuliko kila mtu hapa bongo.....Ndio maana niliacha kuwaelewa, mistari yao ni kudiss wasanii wenzao mwanzo mwisho utafikiri ndio wanawabania riziki......Na kushikana masikio kujiona wao ni kina Krs one kina common ilihali wakitoka kwenye geti la msasani club ni mabwegge tu wanadandia daladala kurudi home kwa baba wakati hao mafek wanaishi kwenye mijengo yao.
Kingine kushikwa masikio, mtu ana maisha magumu mwelekeo hana alafu anafatisha ushauri wa mtu kama Lindu eti hiphop is not about money kaza kichaa wangu kuna siku watakuelewa tu, anaekushauri dhiki anaiona kwenye tv tu, we mjinga umetoka singida umekuja kufanya game unaigiza unigga....mabwege sana hawa watoto alafu kelele nyingi njaa zikianza kuuma.
What is the knowledge? Msanii aimbe nini ndo tuseme hii ni knowledge na hii sio knowledge? Mr blue kaimba nyimbo na jide (nlishakuwaga na wangu ila alinitesa)apo ajaelimisha? Pia ameimba pesa hajaencourage watu kutafuta pesa? Na msanii anatakiwa tu kila siku aimbe nyimbo za knowlege ndo aitwe emcee?nikk mbishi kaimba ngoma inaitwa kila siku ni ya kuintertain na nikk wa pili nae kaimba niacheni kidogo ameintertain pia...tofauti tuu Mr blue kaimba nyingi za kuintertain.
Mgumu wa ara...nmekuelewa kwa kiasi fulani but ebu endelea kunifafanulia apo chini nauliza ivi ili nielewe sio kitu kingine arifuu.
Na umesema nikk2 ni emc but nikk mbishi ni loser(fake)so msanii akilalamika kwa media ndo anaitwa fake rapper?how abt mtu kama immortal ambae daily analalamikia media za mbele huku akiwa ametoa track za kuelimisha kama harlem city . industry revolution. Point of no return. Nae tumuite fake rapper?
How abt fid anaimba nyimbo za knowlege alafu analalamikia media.mfano mzuri ni track yake inayoitwa hiphop bongo .sio bongo tu mpaka ng'ambo hakuna uhuru wa habari ila kuna uhuru wa wenye vyombo.akaja tena akasema nachojua ni kamwe ipp haitampinga mengi...labda tofauti ni njia za kukosoa media tu.
Aya krsone katika ngoma yake inayoitwa mc's act like they don know. Itafute ata sasa ivi kadis pia vyombo....so me naona kigezo chako cha kulalamika kwa media ndo tumuite nikk fake kama hakijitoshelez.navyojua hiphop ni kusema ukweli so how kama media kweli zinazingua?
Nikk asiziambie ukweli?je kusema ukweli ndo tumuite fake?simtetei mtu ila najaribu kufahamu y baadhi ya artist wanaitwa fake na wengine real emcs.....anaejua hili anifafanulie kwa mifano hasa kwa kuzingatia artist wa mbele na wa bongo[/QUOT
Waulize kama wamesikiliza propaganda ya fid q au the message and the money ya immortal technique
Besides unawauliza kuhusu immortal technique wanamjua hao kila siku kusikiliza nainai?
Bado hatujui hiphop..hiphop sio chuki hiphop sio unafiki hiphop ni ukweli kupendana btn artist kwa kukosoana katika tofauti ndogo ndogo....so Ara hiphop ya dunia me nahis bado inatatizo sehemu......
Giving up ndio sign ya ufakeness na uwaki wa nikki, real hip hop is not about money, saigon mbna anaelimisha jamii hajagive up, hiphop is somethin pipo do with passion, hip hop ni culture sio mziki tu, ni maisha kiujumla ya mtu. Sasa we utakapo give up ulichokua unafanya kisa hakikulipi kwaio ina maana we ni fake, we hukuwa unafanya kwa ajili ya mitaa ulkua una kifanya kwa ajili ya pesa, unaona hiphop hailipi sio kuacha kurap unatfta kazi ingine unaifanya na uku unaendelea kurap, sio kufanya kwajili ya money n fame, real hiphop is for the pipo, we ni voice of the pipo, givin up means kuwasnitch raia, kusnitch fan base yako yote.
Hip is the knowledge n hop is the movement, angalia msanii anaespread iyo knowledge katika mitaa ndo utajua huyo ndio mc, mfano nikki wa pili, anaelimisha mitaa juu ya kujiajiri, umuhimu wa elimu na mambo ya madawa ya kulevya, uyo ndo mc, rapper ni kama mr.blue na kina country boy wao ni entertainers.. na kuna wengine wanaitwa losers hehehe hawa ni wale wanaotafta kuonewa huruma na jamii, sympathy seekers mfano ni nikki mbishi na nash mc, hawa utawaona wanavyolaumu media zinawadidimiza na kadhalika, we ni mtu wa aina gani udidimizwe na media zote?? Hawa ndo huanzisha movement zisizoleta improvements.. mpaka saivi utakua umewajua mcz, rappers n losers brother.. losers mfano mzuri ni nikki mbishi, the quiter.. man su lee ana ages kwenye game lakini hajwai kusema anaquit, ye asepe tu, krs one wa mbele hajaquit, aache tu mziki, akaoshe wadada kucha saluni, manicure n pedicure, atafanya vzuri uko
Matumbo me nachotaka tofautisha kati ya fake emcs na real emc's me staki mambo mengne....sihitaji kumdis mweusi. Mtengwa au mtamaduni...nisaidien tu kwa hilo kwa kuzingatia misingi na nguzo za hiphop...then after kelele zitaisha
Ndio simpendi nikki coz sio positive, mtu anaedis kila kitu, he thinks he is perfect while no one is perfect, imagine analine inamdiss hadi rose mhando, kamdis wema, sijui loveness love, he cnt mind his own bizness, sio kuwadiss tu weusi ye anadiss kila kitu, he aint positive, unajua we unafaa kuwa mke wa nikki, u wil b a gud step mother kwa malcolm.. ugumu wangu ni kwamba i only roll wit positive minded ones, the go getters, sio nyie wafuasi wa kufuata watu wanaojiona superiors while they aint shit..
Yani pamoja na kugugo bado umeshindwa hata kutetea majibu yako. Naomba unijuze kutokana na tafsiri yako, msondo ngoma ni wanahip hop au? Kama ndio ni kwa mini na kama sio ni kwanini?
Hapa tatizo ni moja MNA a little knwLadge about hip hop ila cha kushangaza nyie ndo waongeaji wakubwa
What ashame?
Kwani umeambiwa hip hop ni muzik tu?hawezi kufanya kitu kingine na bado akawa ndani ya utamaduni?
Guys mwacheni Nikki affanye anachojiskia as long as hakikuaffect sijui inachokuuma nn
What is the knowledge? Msanii aimbe nini ndo tuseme hii ni knowledge na hii sio knowledge? Mr blue kaimba nyimbo na jide (nlishakuwaga na wangu ila alinitesa)apo ajaelimisha? Pia ameimba pesa hajaencourage watu kutafuta pesa? Na msanii anatakiwa tu kila siku aimbe nyimbo za knowlege ndo aitwe emcee?nikk mbishi kaimba ngoma inaitwa kila siku ni ya kuintertain na nikk wa pili nae kaimba niacheni kidogo ameintertain pia...tofauti tuu Mr blue kaimba nyingi za kuintertain.
Mgumu wa ara...nmekuelewa kwa kiasi fulani but ebu endelea kunifafanulia apo chini nauliza ivi ili nielewe sio kitu kingine arifuu.
Na umesema nikk2 ni emc but nikk mbishi ni loser(fake)so msanii akilalamika kwa media ndo anaitwa fake rapper?how abt mtu kama immortal ambae daily analalamikia media za mbele huku akiwa ametoa track za kuelimisha kama harlem city . industry revolution. Point of no return. Nae tumuite fake rapper?
How abt fid anaimba nyimbo za knowlege alafu analalamikia media.mfano mzuri ni track yake inayoitwa hiphop bongo .sio bongo tu mpaka ng'ambo hakuna uhuru wa habari ila kuna uhuru wa wenye vyombo.akaja tena akasema nachojua ni kamwe ipp haitampinga mengi...labda tofauti ni njia za kukosoa media tu.
Aya krsone katika ngoma yake inayoitwa mc's act like they don know. Itafute ata sasa ivi kadis pia vyombo....so me naona kigezo chako cha kulalamika kwa media ndo tumuite nikk fake kama hakijitoshelez.navyojua hiphop ni kusema ukweli so how kama media kweli zinazingua?
Nikk asiziambie ukweli?je kusema ukweli ndo tumuite fake?simtetei mtu ila najaribu kufahamu y baadhi ya artist wanaitwa fake na wengine real emcs.....anaejua hili anifafanulie kwa mifano hasa kwa kuzingatia artist wa mbele na wa bongo[/QUOT
Waulize kama wamesikiliza propaganda ya fid q au the message and the money ya immortal technique
Huyo jamaa was "ar" muulize je PKP (mapacha) ni nini fake au ril.?
Dabo, gwiji sio mtu anaejibugi, labda nkishamdiss hapa ndo ataweza kukujibu tofauti ya underground na mainstream, buh accordin to my point of view, nikki mbishi sio underground, nikki mbishi ni broke mainstream rapper coz anajulikana na watu wengi lakn tatizo lake ni kwamba hana hela.. angekua underground mn na ww dabo tusingekua tunamjua nikki.. mainstream ni ubepari, unahitaji kua na stamina ili uendelee kukaa hapo juu, nikki hana stamina ndo maana ameporomoka na ndo maana ana acha game, no sorry ndo maana game imemuacha..
Niambie kwanza wewe kwanini hadija kopa ni msanii wako bora wa hip hop? Braza hatuongelei vigodoro wala baikoko humu, hii sio sehemu yako, umekosea mlango aise.. kuna thread zingine uko chini kaongelee mambo ya kina wema, uku hatujui bei za maweavin aise
Mc ni mc as long as anafikisha ujumbe kwa hadhira....ni kama tv fake na tv original zote ni tv na zinaonyesha na sometimes fake zinakuwa rahisi kuzipata na kuzitumia kuliko original....kwangu kinachomata nipate nachotaka awe ni fake au real mc nainjoi tu.
Kwahyo christian Bella -heshima kwa mama ni Mc nae?
We jamaa umeshindwa kutuelimisha kwa nini Afande hafanyi hiphop na Niki anafanya alafu unatulaumu tuna little knowledge kuhusu hiphop! usiwe kama yule mgoloko nash mc anayejiona krs1 kuzunguka kuelimisha hiphop wakati ata one two hawezi.