Nikki Mbishi aamua kuacha Muziki Rasmi


Sasa hapo umejb nn?
Sishangai ww kua shabiki Wa weusi kwa ubongo kama huu
Ila plz usijiite hiphop
 

unasema joh kabadilka coz ulitaka awe kama zamani, asiwe na hela, hata nikki mbishi akija kupata hela utamchukia, we si unachuki, unataka kila mtu awe levo ya chini..
Joh labda kama amebadilika zamani alkua hana hela saivi ana hela, labda zamani hakua mainstream saivi amekua, hayo ndo mabadiliko nnayo yaona
 
Umeweka kejeli na maneno mengi mkuu lkn hujajb swali nililokuuliza
So Afande sele hip hop?

Akuna kejel apo au ww kipofu uzijui hata lugha za kejeli!!

Afande sele n mwanamuziki anaefanya muziki wa hip hop nchin Tanzania

Then tupe sababu za msingi zinazofanya umtoe afande kwenye kundi la wana hip hop ?

Tamaduni's members mnajifanya mnaijua Sana hip hop kumbe zero tu nikiwasikiliza wengi wenu mnasema mwanahip hop Tz n Fid q na watamaduni inasikitisha Sana kuona mna viroho vya kwann

Tamaduni ni sawa na kaptura iliyokosa mifuko_🚶🚶🚶🚶🚶
 

So Mimi nae ni tamaduni?duu besides tunamuongelea Niki au tamaduni muzik?
Nipe vigezo vya Afande sele kua hip hop
Plus what's hip hop mkuu may be mi sijui aisee
 
So Mimi nae ni tamaduni?duu besides tunamuongelea Niki au tamaduni muzik?
Nipe vigezo vya Afande sele kua hip hop
Plus what's hip hop mkuu may be mi sijui aisee
Ujajibu swali langu unanipa swali nikujibu !!
 
Ujajibu swali langu unanipa swali nikujibu !!

Nataka kujua uelewa wako maana kuniambia tu Afande sele ni hip hop basi tayari natilia shaka uelewa wako Wa hip hop
So the QN is unaelewa nn kuhusu hip hop labda tuanzie hapo nisije nikawa nabishana na akili Kama za lemutuz hapa aka teenager
 
Aya ara tuachane na nikk mbishi. .tuje kwa nlichoouliza fake na real emcs..how! FA fid lilwyne.izzo ni fake lakini wengine real mnatumia vigezo gan apo

utajuta kumuona FA na FID Q feki!!
 

Kwani ww uwezi kuwafikishia ujumbe hadi umwagizie mtu nenda pale msasani kilingeni kawaambie....acha unafki
 
Ndio mabadiliko uyaonayo kutokana na upeo wako duni. Nambaya zaidi huwezi fikiria ni nini kimembadirisha.
Hipi ni hip hop alichokua anakifanya mwanzo na sasa?
Unawafahamu x-plastaz?
 
nikki mbish sio mbishi tena..

"tatizo nyota"

Hutaki acha!
 
Nikki Mbishi Naughty by Nature/sihitaji escort wala support ya director/sijachemka niko hot kama pepper/skukosi nkikutaka nakusaka kila chaka nakudaka/mbaka round about k/koo

Mi ndo Mc mwenye kila type of flow,
Nipo kabla ya bugat mi ni five o four (504).
 
Nikki Mbishi Naughty by Nature/sihitaji escort wala support ya director/sijachemka niko hot kama pepper/skukosi nkikutaka nakusaka kila chaka nakudaka/mbaka round about k/koo

Nikki Mbishi Naughty by Nature/
Sihitaji escort wala support ya director/
Sijachemka niko hot like Vapour/
green benjamin sitaki zile noti white paper/
Ujuzi unatosheleza/
Michuzi juu ya meza/
Mbuzi unacheza blues na mpuuzi vipi utaweza/
Saa ya mapinduzi mwite gwavala na castrol/
Haijalishi ka una mvi shirazi unaitaji Afro/
 
Mmeskia ney wa mitego alivomwambia??? Nikki anapenda sana attention za watu, at the end of the day anadhalilishwa hadi na mawack wenzake
 
Mmeskia ney wa mitego alivomwambia??? Nikki anapenda sana attention za watu, at the end of the day anadhalilishwa hadi na mawack wenzake


Huyo ney ndo Neema dem wa Nikki yule au sio mkuu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…