Muuza Sura
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,985
- 1,352
Oyaaa wack rapper wenu, anaediss media atakua on air clouds fm muda si mrefu, atakua anazungumzia juu ya yeye kuachwa na hip hop, sio kuacha, KUACHWA NA HIP HOP..
kuna mtu anaitwa roho saba huyo alitoa ngoma inaitwa kawaite polisi na nyingine naipenda hip hop!hizo pini ni zaidi ya noma lakini mda sasa jamaa hajasikika na wachache wanajua yupo wapi ila hajapayuka kama kasanda game sio hawa watoto ambao mwalimu wa hip hop ni fid Q..........
Sasa mkuje muanze kumtetea nikki, vitu ambavyo kashindwa kujitetea redioni
wakija humu kumtetea kweli ntawashangaa
Oyaaa wack rapper wenu, anaediss media atakua on air clouds fm muda si mrefu, atakua anazungumzia juu ya yeye kuachwa na hip hop, sio kuacha, KUACHWA NA HIP HOP..
Sorry wakuu sikupata nafasi ya kumsikiliza uyu attention seeker kwenye iyo interview kaongea nini,duh tulisema uyu anataka tu media zimtafute ili akumbukwe maana kwenye industry alishatemwa kimya kimya.
mgumu_wa_ara asante kwa taarifa naona wale mabalozi wake leo wamepotea au hawakumsikiliza Mcee wao.
kuna mtu anaitwa roho saba huyo alitoa ngoma inaitwa kawaite polisi na nyingine naipenda hip hop!hizo pini ni zaidi ya noma lakini mda sasa jamaa hajasikika na wachache wanajua yupo wapi ila hajapayuka kama kasanda game sio hawa watoto ambao mwalimu wa hip hop ni fid Q..........
Wamekua disapointed na rapper wao.. kawatia aibu
""""""""kamanda unaongoza vikosi vya,mapambano kwenye battle field,suddenly unakimbia uwanja wa mapambano kisa eti huoni direct gain from the victory you are fighting for,,,,,,,damn,,,,,,,,BE,PART OF THE CHANGES,,,,,,,SASA UKIKIMBIA UNATAKA WAKINA MALCOM NAO WAJE WAHANGAIKE NA UKIRITIMBA HUU MIAKA 15,IJAYO,,,,,###
hip hop ni utamaduni,kuwa mwana hiohop sio lazima usikike radioni,hip hop ni movement,,,,sasa bwana nikk ungeweka wazi kabisa kwamba wewe,,UMEACHANA NA MAINSTREAMING MUSIC GAME NA SIO KWAMBA UMEACHANA KABISA NA HIP HOP AS A CULTURE,,,
,,
Nyie majamaa kama mapunga vile
HV mnajua hata mlikua mnabishania nn au?
Kwanza ameanza kwa kukubali he woz seekin attention, kwasbb kuna kitu alitaka kusema, alivoulizwa ni kitu gani kimekufanya uache mziki akasema haezi kuelezea, fetty akampa options, je ni media hazikupi sapot, au ni mistari imeisha au ni haupati show za kutosha? au competition imekua kubwa? akaambiwa aseme jibu moja specifically, akajibu hivi mume anapo mpiga mke nyumbani ni kwasbb anakua ana mambo mengi amemkusanyia kichwani, akatoa mafumbo fumbo mengi ya aina iyo, sjui profesa wake wa chuo alimwambiaga nin, alijiuma uma sana akatoa quotes za watu wa mbele, mpaka akaonekana anamaliza tu muda, maana akaanza kuongea sjui hataki kua kama daz baba, vitu vya ajabu ajabu vingi tu, si unajua tena majibu ya mawack
Una CHUKI na jamaa bro..
Una CHUKI na jamaa bro..
Hata mm sijamuelewa bora kama hakuelewa alichoongea Nikki angekausha tu walioelewa wangepost kitu kinachoeleweka!!!