Nikki Mbishi aamua kuacha Muziki Rasmi

Nikki Mbishi aamua kuacha Muziki Rasmi

ukitafuta kick za kitoto mwisho ni aibu kwako mwenyewe mtafuta kick na waliokuwa wanakusupport!
 
Oyaaa wack rapper wenu, anaediss media atakua on air clouds fm muda si mrefu, atakua anazungumzia juu ya yeye kuachwa na hip hop, sio kuacha, KUACHWA NA HIP HOP..

kuna mtu anaitwa roho saba huyo alitoa ngoma inaitwa kawaite polisi na nyingine naipenda hip hop!hizo pini ni zaidi ya noma lakini mda sasa jamaa hajasikika na wachache wanajua yupo wapi ila hajapayuka kama kasanda game sio hawa watoto ambao mwalimu wa hip hop ni fid Q..........
 
Alafu hawachelewi kumdiss mwalimu wao.. hawa hawa ndo wakwanza kusema fid anacopy sana
 
It's a shame
Niggas in the rap game
Only for the money and the fame
Extra large!
It's a shame
Niggas in the rap game
Only for the money and the fame
Paparazzi---Xzibit
 
Sasa mkuje muanze kumtetea nikki, vitu ambavyo kashindwa kujitetea redioni

wakija humu kumtetea kweli ntawashangaa

Sorry wakuu sikupata nafasi ya kumsikiliza uyu attention seeker kwenye iyo interview kaongea nini,duh tulisema uyu anataka tu media zimtafute ili akumbukwe maana kwenye industry alishatemwa kimya kimya.
 
Oyaaa wack rapper wenu, anaediss media atakua on air clouds fm muda si mrefu, atakua anazungumzia juu ya yeye kuachwa na hip hop, sio kuacha, KUACHWA NA HIP HOP..

Nashangaa ww unamfuatilia sana wakat unasema hakuhusu duuu hongera kwa kufuatilia wack rappaz
 
Sorry wakuu sikupata nafasi ya kumsikiliza uyu attention seeker kwenye iyo interview kaongea nini,duh tulisema uyu anataka tu media zimtafute ili akumbukwe maana kwenye industry alishatemwa kimya kimya.

Kwanza ameanza kwa kukubali he woz seekin attention, kwasbb kuna kitu alitaka kusema, alivoulizwa ni kitu gani kimekufanya uache mziki akasema haezi kuelezea, fetty akampa options, je ni media hazikupi sapot, au ni mistari imeisha au ni haupati show za kutosha? au competition imekua kubwa? akaambiwa aseme jibu moja specifically, akajibu hivi mume anapo mpiga mke nyumbani ni kwasbb anakua ana mambo mengi amemkusanyia kichwani, akatoa mafumbo fumbo mengi ya aina iyo, sjui profesa wake wa chuo alimwambiaga nin, alijiuma uma sana akatoa quotes za watu wa mbele, mpaka akaonekana anamaliza tu muda, maana akaanza kuongea sjui hataki kua kama daz baba, vitu vya ajabu ajabu vingi tu, si unajua tena majibu ya mawack
 
Napata shida kuamini maana wasanii muda wote wako kazini kufanya usanii
 
kuna mtu anaitwa roho saba huyo alitoa ngoma inaitwa kawaite polisi na nyingine naipenda hip hop!hizo pini ni zaidi ya noma lakini mda sasa jamaa hajasikika na wachache wanajua yupo wapi ila hajapayuka kama kasanda game sio hawa watoto ambao mwalimu wa hip hop ni fid Q..........

Mnyamwezi Jacob alistukia mapema, ssa hivi ana mawe yake matatu ana enjoy tu vyata.
 
""""""""kamanda unaongoza vikosi vya,mapambano kwenye battle field,suddenly unakimbia uwanja wa mapambano kisa eti huoni direct gain from the victory you are fighting for,,,,,,,damn,,,,,,,,BE,PART OF THE CHANGES,,,,,,,SASA UKIKIMBIA UNATAKA WAKINA MALCOM NAO WAJE WAHANGAIKE NA UKIRITIMBA HUU MIAKA 15,IJAYO,,,,,###

hip hop ni utamaduni,kuwa mwana hiohop sio lazima usikike radioni,hip hop ni movement,,,,sasa bwana nikk ungeweka wazi kabisa kwamba wewe,,UMEACHANA NA MAINSTREAMING MUSIC GAME NA SIO KWAMBA UMEACHANA KABISA NA HIP HOP AS A CULTURE,,,
,,
 
Word....
 
Kwanza ameanza kwa kukubali he woz seekin attention, kwasbb kuna kitu alitaka kusema, alivoulizwa ni kitu gani kimekufanya uache mziki akasema haezi kuelezea, fetty akampa options, je ni media hazikupi sapot, au ni mistari imeisha au ni haupati show za kutosha? au competition imekua kubwa? akaambiwa aseme jibu moja specifically, akajibu hivi mume anapo mpiga mke nyumbani ni kwasbb anakua ana mambo mengi amemkusanyia kichwani, akatoa mafumbo fumbo mengi ya aina iyo, sjui profesa wake wa chuo alimwambiaga nin, alijiuma uma sana akatoa quotes za watu wa mbele, mpaka akaonekana anamaliza tu muda, maana akaanza kuongea sjui hataki kua kama daz baba, vitu vya ajabu ajabu vingi tu, si unajua tena majibu ya mawack

Una CHUKI na jamaa bro..
 
Real underground hip hop watafute Army of the Pharaohs,Rebel Arms kina immortal technique,Diabolic,Lowkey,Nate,La Coka Nostra.....mistari migumu,hardcore beats,imebase kuelimisha kuliko kuburudisha..,.,kwa bongo msikilize Salu Taba
 
Hata mm sijamuelewa bora kama hakuelewa alichoongea Nikki angekausha tu walioelewa wangepost kitu kinachoeleweka!!!

Chie.. sasa we apo nimeongea na wewe? nmereply jamaa alichouliza, sansana labda nkuambie umesoma kitu kisichokuusu.. afu nmeandika kama alivokua akijibu maswali kule
 
Back
Top Bottom