Nikki Mbishi aamua kuacha Muziki Rasmi

Baba malcom amesanda game...kweli game tafu....

Aseeh KikulachoChako kama zohan kasanda gemu...oi HIPHOP. .aya bhana .inaumiza kwa anaezijua harakati za hiphop na kama ataacha atajiabisha saana kusanda harakati
 
Kuna legendary mmoja wa hiphop RAKIM alisema 'don't represent hiphop but be hiphop' jamaa alifikiria mbali saana..but all in all nikk namjua fresh..bongo sjaona kwangu kama nikk sjui kwa wengine kama muuza sura but nikk hata VC wa mist anamjua alimpa salute ..nashindwa kuongea mengi coz the way navofeel aseeh duuh. naipenda hiphop especially real one na nahisia kinoma (Real music inayoongelea tunayoyafanya huku mtaa).jana nliposkia ivyo nlipiga track ya nikk inaitwa IMAGE roho ikaniuma kinoma. Poa bhana nikk safari njema ya maisha ila ulipo be part ya hiphop na usiiwakilishe hip hop..daaah.
 
Una uhakika kuwa ana album wewe shabiki wa msaga sumu keep quity kama una unachojua kuhusu mziki wa hip_hop

Naujua mziki wa hiphop kuliko hata wewe unayejiona unaujua,mie sijaanza kufatilia mziki wa kina wiz khalifa,nimeanza kufatilia mziki tangia kina Master P wanaanza kutoa single,make say uh na na naaaaaaa,enzi hizo kina shaq oneil wanachana,enzi hizo kina nas wanatoa affirmative action 96' acha hate me now ya 1999,enzi hizo Naught By nature watoa OPP 1991 ,Xzibit bado hajulikani kabisa na wala hajatoa single yake ya paparazi.
 

hawa madogo kumjua lil wyne na young killer ndio wana jiona wanajua sana hiphop,kumbe watu wametoka mbali na haya mahip hop enzi zile za kuvaa mashati makubwaaa ya dogdog chini una bonge la jeanz oversize basi ndio ulikua una onekana bonge la hardcore ha ha ha those dayz.

kibongo bongo watu walikua wanachana kizungu na ngoma zilikua sio za mapenzi ilikua ni kusifia amani ya tanzania tu nothing else..." tulinge linge kwa amani eeehh....tulinge linge kwa furaha eehh"
 
Nikki mbishi ni miongoni mwa wasanii wachache wa HipHop wenye IQ kubwa na mwenye Maktaba kubwa ya Muziki kichwani mwake, pia ni Freestyl mcee aliyefanikiwa kutoka kama msanii wa kawaida na mwenye kuhimili Pande zote mbili kikamilifu.

Ukisikiliza nyimbo kama Nimezama, Kijusi, Afrika ya Leo, Utamaduni, Michepuko, kabla sijafa, serikali ni nani etc. utagundua kua jamaa anaongea vitu vyenye kuhitaji wakati mwingine kusikiliza zaid ya mara mbili kuelewa anachomaanisha, hii ni kwa sababu ya ustadi alionao katika kuandika mashai yake.

Ukija upande wa freestyle utagundua Nikki mbishi ni msanii anayeweza kutoa mitindo huru juu ya neno lolote utakalompatia kama topic na maelezo yote juu ya neno husika huyatoa si kwa mtindo uliozoeleka au ambao msikilizaji atauona ni mwepesi bali kwa ustadi makini na kukuacha mwenye furaha na kujifunza kitu kipya.

TATIZO linalo mgharimu nikki mbishi na wasanii wengine wa tamaduni muzuk ni Kukosa msimamo/kuwa vigeugeu na Hali ya kusema hawafanyi muziki wa biashara wakati huohuo wakihitaji faida kutokana na wakifanyacho.

Kwa wale wanaoohudhuria Kilinge si jambo jipya kusikia wana tamaduni music waki diss Clouds Fm wakati huohuo jion unaweza kumsikia akihojiwa tena Clouds hyo hyo inayombania, Mfano mzuri ni Nash Mcee, akiwa kilingeni unaweza sema jamaa hawez kusujudia clouds, lakini akiwa clouds utamuonea huruma kwa kujing'ata ng'ata.

Nahitimisha kwa kusema nikki mbishi anajua sana, sometym ubishi wake unamuangusha
 
Umekurupuka kama haujui usiongee. .mbishi ana album tatu

Huwa siwafatiliagi hawa fake emcees,wanaharakati feki,pili hauwezi kunizuia kuongea kamwe,lil' man, when mi talk, 'ere weh yuh fi do,Shut your mouth, listen close, weh we come fi do.
 

hawa madogo kumjua lil wyne na young killer ndio wana jiona wanajua sana hiphop,kumbe watu wametoka mbali na haya mahip hop enzi zile za kuvaa mashati makubwaaa ya dogdog chini una bonge la jeanz oversize basi ndio ulikua una onekana bonge la hardcore ha ha ha those dayz duuh.
 

Kabisa Chinga,hawa madogo wa mulugo wana shida sana,enzi hizo tulikuwa tunavaa mashati ya snoop doggy na unakula ma -flana ya OPP acha tu kitambo sana nadhani hao madogo walikuwa hawajazaliwa kabisa hata mimba haijatunga,ndio kwanza baba yake alikuwa anamfukuzia mama yake,Kumjua lil wayne na young killer na wao wanajiona wanajua hiphop.
 

hawa madogo kumjua lil wyne na young killer ndio wana jiona wanajua sana hiphop,kumbe watu wametoka mbali na haya mahip hop enzi zile za kuvaa mashati makubwaaa ya dogdog chini una bonge la jeanz oversize basi ndio ulikua una onekana bonge la hardcore ha ha ha those dayz duuh.

kipindi hicho kibongo bongo watu wanachana kwa kizungu na ngoma nyingi zilikua za kusifia amani ya Tanzania tu "tulinge linge kwa amani eeehhh....tulinge linge kwa furaha eeehh" hatari sana.
 
Aliacha sugu mwenye album 10 akarudi tena sembuse huyo mbisha ambaye hana hata album moja.

Hahaha...kuna jamaa wanaitwa sophists walikuwa wanahusika na masuala ya elimu nchini ugiriki zamani saana achana na plato.socrates wa Athens ya ugiriki pia. .sasa sjajuaga kama ndo wametuachia hiyo laana ya kupropose na kuopose muda huo huo na kushinda. Me wala sina shida na wew bro coz najua binadamu lazima tutofautiane katika mambo flan flan...tatizo linakuja wapi wew umesema Aliacha sugu mwenye album 10 akarudi tena sembuse huyo mbishi ambae hana hata album moja...kwa maelezo yako nikwamba mbishi hana album hata moja..so nakushangaa saana..me sjui vingi na najua vingi pia linapotokeaga suala la kusahihishwa huwa Nakubali pale nlipokosea...kama wew unaroho ya kutokubali ulipokosea poa usnipotezeeee muda man....
 

kubishana nao hawa unaumiza kichwa tu halafu hawataki kujifunza wanakomaa na ubishi tu.
 

Husipoteze nguvu nyingi kubishana na "kiwete" wa fikra.
 

Ukiniambia SOS B,Nigga Jay wa HBC(Sio Prof Jay Solo),Mr II,Dogo Hasheem nitakuelewa lakini hao wanna b emcees sinaga habari nao.....
 
hahaahaaaaaa
mi napenda mziki wowote ule na nimfuatiliaji mzuri tu ila sasa majukumu tu yanapunguza kasi

this is your dedication mama
this is for u beibeee u deserve real shit /better and special things-http://bobbyjoh.blogspot.com/2014/04/nikki-mbishi-secreto-de-amor.html
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…