Nikki Mbishi aamua kuacha Muziki Rasmi

Nikki Mbishi aamua kuacha Muziki Rasmi

Cuzzo mi nakuunga mkono kua mwanaharakati hawezi sanda kiboya kama yeye alafu amekuta wendawazimu wameweka misingi ya huu muziki kwa tabia ya kuzira kama zake leo kusingekua na hii bongo fleva alafu kiroho safi hana mchango wowote kwenye industry kiasi kwamba tukasema tutamkumbuka.
Acha aende hakuna PENGO.

Rap wewe basi tuone kama utaacha hata ilo jina kwny industry
 
nikki mbishi ni mdogo kiumri ulitaka ahustle mwaka gani ??
ameahustle kutokana na umri wake
nikki mbishi nuksi waulize wasanii wako wakubwa wakutajie top five ya wasanii wakali wa hip hop at this time ukimkosa nikki mbishi najiondoa jamiiforums
jamaa kaimba kila aina ya jambo usimlinganishe na akina sugu waliompita umri wa zaidi ya miaka 10 guy be serious
nikki nuksi kuanzia kuandika hadi kuflow wale wanaojiita weusi hata kumuimba wanamuogopa
-sauti ya jogoo
-nyakati za mashaka
-play boy
-kijusi
-au
hebu tafuta hizi nyimbo
usikie jinsi mtu anavyoimba hakuna kama huyu at this time

Conscious tupu hapo
 
Kwa Taarifa yako siku ya kwanza NikkiMbishi ameingia kwny studio za mawingu tu face to face na msagaji fetty kama unakumbuka freestyle season vs Godzilla fatma hassan a.k.a Dj wako fetty alishoboka laivu kwa huyo playboy ila nikki akachomoa
 
Mi muziki naufuatilia na sio kuufuatilia tu,naujua!

Sidhani kwa kizazi chetu cha sasa hapa Tanzania ukitaka kuzungumzia wana-hip hop wanaofanya vizuri kwenye "top five",huwezi kuacha kutaja jina la Nikki Mbishi.

Tuache chuki binafsi,kama mtu humpendi tu 'personal',usichanganye na kazi zake anazofanya.

Mi napenda kumshauri tu,ajaribu kukaa chini na kufikiri mara mbili juu ya uamuzi wake huo.Changamoto zipo,hupaswi kuzikimbia bali kukabiliana nazo!
 
Brilliant mkuu
 
Kwa Taarifa yako siku ya kwanza NikkiMbishi ameingia kwny studio za mawingu tu face to face na msagaji fetty kama unakumbuka freestyle season vs Godzilla fatma hassan a.k.a Dj wako fetty alishoboka laivu kwa huyo playboy ila nikki akachomoa

Kipindi hicho wanagombania laki moja kila wiki anabeba nikki tu hawa watoto wanashinda kwenye vigodoro tu wanajifanya wana hip hop
Tuliosoma Mbeya Universty of science and Technology tunamjua vzur huyu mtu lecturer mkuu mwenyewe ali salute kwa huyu baba malcom sembuse ww member wa jf....usikurupe tulia fatilia comments

Kuna watu wao ni wauza sura ila wanaongelea hip hop watu walikuwa wanaacha kurap wakimuona nikki mbishi anakuja huyu wa kuitwa chindo nahis unamjua kipindi hicho nikki mibangi
 
juzi lini unajua kwamba huyu jamaa kipindi cha mwanzo alikuwa anaflow kama chidi benz ??
unajua kwamba alikuwa la familia ?
unajua ametumia nguvu kubwa kuisimamisha lunduno na tamaduni muzik
au unataka naye ashinde mlangoni kwa p funk ndio ujue ame hustle ??
acha kukariri

Haha haha sasa la familia si juzi tu baada ya chidi benzino kutolewa na lindu ndulu. .mimi naongelea game kipindi cha soundcrafters wakati huyo mjanja wa nikki mwenyewe chiddi mic haijui. .90s wakati watu wanahustle hao watoto wako wanavaa pampers. ..mind you nikki ni mtoto wa 1990 so game kaianza lini mpaka akate tamaa!aulize kaka zake kina Jay moe n by the way unaweza ukaacha mziki kimyakimya kama hashim dogo alivyofanya si kama yeye kutafuta attention na huruma ya mainstream. ..
 
Kwa ushauri wangu bora aache tu,mziki wa Hiphop umejaa stress na mwisho wake unakufa mapema tena ungali masikini,ya nini sasa hayo.Bora hata mwanangu Snare alisanuka mapema ajikataa zake kitabuni maana huko tuendako game la mzk bongo litakuwa linaendeshwa na mhaya wa mawingu.So Nikki waachie walamba miguu wa manzese Tiptop japo nao siku hizi wamepotea
 
I bet u never knew Nikki kama no hvyo
U never bought any mix tape from him neither his songs
Sikiliza natoka Tanzania au tafuta the last mixtape ndo utamwelewa nikki

Utamwambia nini nikki mbishi
 
Huwezi kufanya game kwa kupanic halafu game ikakubumia usiache kusanda. .haya ni matokeo ya game kumbumia!alianza beef na nikki wa pili matokeo yake kupitia mgongo wa weusi nikki wa pili akatoboa yeye kabaki palepale. .akamdandia ney wa mitego mpaka akamchana ney wa mitego mwisho wa siku ney wa mitego akatusua mpaka leo ney wa mitego oya oya!nyie msifieni wakati mixtapes zake hamnunui. .haya ndo matokeo mziki umemuacha mnabaki kusifia ujinga
 
Kipindi hicho wanagombania laki moja kila wiki anabeba nikki tu hawa watoto wanashinda kwenye vigodoro tu wanajifanya wana hip hop

Kuna watu wao ni wauza sura ila wanaongelea hip hop watu walikuwa wanaacha kurap wakimuona nikki mbishi anakuja huyu wa kuitwa chindo nahis unamjua kipindi hicho nikki mibangi

Alikuwa anawaburuza maamuma wa hip hop ndo maana alivyokutana na magwiji kasanda
 
Huwezi kufanya game kwa kupanic halafu game ikakubumia usiache kusanda. .haya ni matokeo ya game kumbumia!alianza beef na nikki wa pili matokeo yake kupitia mgongo wa weusi nikki wa pili akatoboa yeye kabaki palepale. .akamdandia ney wa mitego mpaka akamchana ney wa mitego mwisho wa siku ney wa mitego akatusua mpaka leo ney wa mitego oya oya!nyie msifieni wakati mixtapes zake hamnunui. .haya ndo matokeo mziki umemuacha mnabaki kusifia ujinga

hivi ney anaimba mziki gani ??
nikki hajasanda kaamua kuacha kama mtu anavyoamua kuacha kazi utamwambia kasanda ??
Nikki ni mtu na Elimu yake ameamua kutumia elimu kuendeleza maisha yake hip hop hailipi ndio maana kaacha hakuna aliyefanikiwa kwa kutumia hip hop kibongo bongo wengi wao ni muziki burudani wewe endelea kuuza sura ili uje kuuza kota
 
Back
Top Bottom