Nikki Mbishi aamua kuacha Muziki Rasmi

Nikki Mbishi aamua kuacha Muziki Rasmi

Nikki ni Sean price wanna be ila yeye Nikki alitegemea media imtoe tofauti na mjomba Sean na kina immortal wanachokifanya. .hip hop ya bongo ukitegemea media lazma usande!Nikki wala wenzake wa tamaduni hawana nguvu hata ya kujaza sitting room wakiandaa show ya elfu kumi....hawako orgsnised na mbaya zaidi wanajitia kuvimbia baadhi ya radio stations huku wanazitamani
sidhani kama unajua unachokiongea mkuu,no offence
nadhani ts better u go kuuza sura
 
Naujua mziki wa hiphop kuliko hata wewe unayejiona unaujua,mie sijaanza kufatilia mziki wa kina wiz khalifa,nimeanza kufatilia mziki tangia kina Master P wanaanza kutoa single,make say uh na na naaaaaaa,enzi hizo kina shaq oneil wanachana,enzi hizo kina nas wanatoa affirmative action 96' acha hate me now ya 1999,enzi hizo Naught By nature watoa OPP 1991 ,Xzibit bado hajulikani kabisa na wala hajatoa single yake ya paparazi.

Sasa hiyo miaka unayoitaja inasaidia nini ?
Unaeza kuanza kuufuatilia mziki mda mredu lakini usiuelewe.. Au na sisi tu google wasanii wa miaka ya 78 afu tuanze kuwaelezea hapa sio ?

Inaonyesha ulitaka mbishi aanze kurap akiwa na miaka 15 enzi hizo ata studio hamna, mana ndicho unacho kimaanisha kwa kuitaja miaka ya 1991..

You may know untill you realize that you don't know a thing.

Hata nikimjua haniongezei chochote kwa bank.

Ona unavyotoka nnje ya mada.
Kwani hao akina Nas uliowajua wamekuongezea hela benki au ata mke wa pili ?
 
Popote pazungumzowapo hiphop lazma povu liwepo tu , ok hii inaonyesha hiphop ndio mziki wa kweli,! Napita tu wakuu,!
 
Shows immaturity.

Bado tuseme poor people are not stupid....

Nikki ni Sean price wanna be ila yeye Nikki alitegemea media imtoe tofauti na mjomba Sean na kina immortal wanachokifanya. .hip hop ya bongo ukitegemea media lazma usande!Nikki wala wenzake wa tamaduni hawana nguvu hata ya kujaza sitting room wakiandaa show ya elfu kumi....hawako orgsnised na mbaya zaidi wanajitia kuvimbia baadhi ya radio stations huku wanazitamani
 
Sasa hiyo miaka unayoitaja inasaidia nini ?
Unaeza kuanza kuufuatilia mziki mda mredu lakini usiuelewe.. Au na sisi tu google wasanii wa miaka ya 78 afu tuanze kuwaelezea hapa sio ?

Inaonyesha ulitaka mbishi aanze kurap akiwa na miaka 15 enzi hizo ata studio hamna, mana ndicho unacho kimaanisha kwa kuitaja miaka ya 1991..

You may know untill you realize that you don't know a thing.

Ona unavyotoka nnje ya mada.
Kwani hao akina Nas uliowajua wamekuongezea hela benki au ata mke wa pili ?

Mkuu topic tushaifunga hii,ila kwa kuweka kumbukumbu sawa kwa kutaja hiyo miaka ni kumuaonyesha kwamba sijaanza kufuatilia mziki huu wa kina chris brown,nilianza zamani sana na nimeruka majoka kipindi hiko london beat wanatoa single yao ya thinkin about you mwaka 1990,mambo ya kugugo wanamuziki wa 78 unaweza ukafanya mie siwajui hao wa kugugo ila ambao waliomake hits songs of all time kama kina kenny rogers,philly collins,NWA,its Time to take Affirmative Action son,Niggaz don't understand the four devils:Lust.. Envy.. Hate.. Jealousy......The Firm Nigga.
 
Mkuu topic tushaifunga hii,ila kwa kuweka kumbukumbu sawa kwa kutaja hiyo miaka ni kumuaonyesha kwamba sijaanza kufuatilia mziki huu wa kina chris brown,nilianza zamani sana na nimeruka majoka kipindi hiko london beat wanatoa single yao ya thinkin about you mwaka 1990,mambo ya kugugo wanamuziki wa 78 unaweza ukafanya mie siwajui hao wa kugugo ila ambao waliomake hits songs of all time kama kina kenny rogers,philly collins,NWA,

Tumefuatilia Hip-Hop ya kina master Jay na mcDaniels miaka hiyo 1989, sio master jay huyu unaemjua wewe wa BSS
enzi za kina Kutis Blow na enzi za kina Fat Joe miaka hiyo ya 80 na ajabu wewe unaniambia akina kenny Rogers, ambao ata hawaijagusa hip hop.

Kutaja miaka ile hakuvalidate kwamba wewe umeanza kufuatilia mziki lini, tunachopima ni comments unazotoa.... Sinaonyesha kabisa wewe bado huelewi lolote kuhusu nguzo tano.
 
Utoto raha sana,Umeshinda mkuu,yani wewe ni legendary,umezaliwa hiphop haijaanza kabisa na unajua vitu vingi sana,nitakutafuta unifundishe maana wewe ni msomi na unajua mambo mengi sana.
 
Nilichoona kuna wapuuzi ambao wanataka nikki angekuwapo tangu miaka ya 90 wakati jamaa kazaliwa 80's wapi na wapi ni sawa na kukataa messi sio mchezaji bora kwa kuwa hakucheza na akina pele kwa kizazi hiki nikki mbishi ni nuksi kuanzia kutunga hadi kufreestyle hutaki unaacha unataka awe hiyo miaka ya tisini kwani kazaliwa lini kama sio UPUMBUWANI ni nini ??
 
Aliacha sugu mwenye album 10 akarudi tena sembuse huyo mbisha ambaye hana hata album moja.

Huyu ---- n boya 2 anayesoma headings na kuandika kwenye media it's obvious ushabk wa Kipuuz n 2 tell u nikki mbishi Ana albm 2 saut ya jogoo n malcom xi
 
hawa madogo kumjua lil wyne na young killer ndio wana jiona wanajua sana hiphop,kumbe watu wametoka mbali na haya mahip hop enzi zile za kuvaa mashati makubwaaa ya dogdog chini una bonge la jeanz oversize basi ndio ulikua una onekana bonge la hardcore ha ha ha those dayz duuh.

kipindi hicho kibongo bongo watu wanachana kwa kizungu na ngoma nyingi zilikua za kusifia amani ya Tanzania tu "tulinge linge kwa amani eeehhh....tulinge linge kwa furaha eeehh" hatari sana.

Tulia ww unajua mziki kvp au kwa msaada wa Mr. Google kama ndo unaanza mention hayo majina makubwa kwny industry ya hiphop duniani
 
Shut your mouth, listen close, weh we come fi do.,anayejishaua huyo emcee wenu anatishia kuacha mziki wakati hata huo mziki anaoufanya haujulikani.

We jamaa ni mshamba sana humu ndani unajifanya unajua kila kitu kumbe amnazo sasa kama mziki anaofanya haujulikani kvp ww leo uanze kumzungumzia piga kmya watu watoe comments zao "hip hop ni utulivu huwezi fatilia taarabu
 
Nikki Mpishi wa Supu Ya Mawe!

Muziki n Burundian n co vita as he say kuacha muziki co kushindwa maisha n he actually said naendelea kuwa fan wa music unataka akushikie bunduk na aseme buy my mixtape o album tunatakiwa kuwa waelewa n sio wasikilizaj watch out ur statement b4 post them just respect iz congromorate
 
Nilikuwa natania tu kufuatana na comment iliyokuwa imetangulia na nimeiquote kama umeona,binafsi namkubali Nikki.Afu acha kuandika kiingereza kama hakipandi unajiaibisha bure humu sio facebook.Statement b4 post them..
Iz congromorate...
 
Back
Top Bottom