qn of sheba
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,230
- 1,380
kwa sababu niki mbishi ana degree yake so anafikiri kila mtu ana uhakika
hakuna cha publicity ,,.Zohan yuko real since yupo MIST [MUST] MBEYA...
Meku kasoma mist huyu? Mi nimesoma pale kamaliza mwaka gani huyu nisimjue......
Kama humjui na umesoma hapo badi ndugu ulikuwa unashinda rum mbona jamaa kasoma hapo miaka mitatu..
utashindwaje kumjua? au ulikuwa mtoro wewe?Meku kasoma mist huyu? Mi nimesoma pale kamaliza mwaka gani huyu nisimjue......
Kwa uandishi wako basi utakua wa sku hz ww na yeye ....mm nishinde rum...
guuuud sasa umenielewesha maana mi nilimaliza miaka ya 2000 mwanzoni sawa.....apreciateBasi either umemaliza kabla au baada yake maana mngekuwa wote ungemjua hapo na hadi picha zake za skuli zipo kibao kuna na washkaji zake wapo pale bado na hao ndo wanasimamia sana ishu za vilinge hapo mbeya na kuuza album za wasanii Tamaduni muzik hapo must na mbeya..
Wengine wanamaliza mwaka huu diploma ila siwezi wataja coz si wasanii it wont b fair.. Ila thats thru joooh.
guuuud sasa umenielewesha maana mi nilimaliza miaka ya 2000 mwanzoni sawa.....apreciate
Namkubali sana Nikki..tatizo ana diss sana machalii na undergrounds. Anajiona yuko right in every way. Sasa kwann achomw albam ya Mchawi? Tena na wana kishenz..kisa wimbo?? Hapa kuna a lot behind the scenes.
Ndo maana cku hizi hata mzuka wa kilinge unapungua
namkubali sana nikki..tatizo ana diss sana machalii na undergrounds. Anajiona yuko right in every way. Sasa kwann achomw albam ya mchawi? Tena na wana kishenz..kisa wimbo?? Hapa kuna a lot behind the scenes.
Ndo maana cku hizi hata mzuka wa kilinge unapungua