Nikki Mbishi aichoma moto album ya Kimbunga, kisa rapper huyo kufanya wimbo wa ‘Kwaito’

Nikki Mbishi aichoma moto album ya Kimbunga, kisa rapper huyo kufanya wimbo wa ‘Kwaito’

Mnaodai publicity kwani nikki kaanza leo mziki... Uzuri wa watamaduni wengi hawaimbi njaa ndo maana wengi wao shule wameenda japo certificate...

Huyo Nikki angekuwa na njaa sana si angeendelea na kazi yake si ana Diploma yake ya Engineering pale Must...

Ukweli ndo huo Tamanduni they real watamaduni ndo maana hawaendekezi promo wala kujipendekeza kwenye media na bado album zao wanauza wenyewe na Kilinge wamekitangaza wenyewe mpk sasa wengi wanakijua.
 
kama unafanya mziki kama kazi kubadilika ni kitu cha kawaida tuu maana unaweza ukang'ang'ania Hip Hop halafu ukafa njaa kamata fursa Twenzetu
 
kimbunga+allstar+tanzania+hip+hop.jpg

Kimbunga
 
Kwa uandishi wako basi utakua wa sku hz ww na yeye ....mm nishinde rum...

Basi either umemaliza kabla au baada yake maana mngekuwa wote ungemjua hapo na hadi picha zake za skuli zipo kibao kuna na washkaji zake wapo pale bado na hao ndo wanasimamia sana ishu za vilinge hapo mbeya na kuuza album za wasanii Tamaduni muzik hapo must na mbeya..
Wengine wanamaliza mwaka huu diploma ila siwezi wataja coz si wasanii it wont b fair.. Ila thats thru joooh.
 
guuuud sasa umenielewesha maana mi nilimaliza miaka ya 2000 mwanzoni sawa.....apreciate
 
Namkubali sana Nikki..tatizo ana diss sana machalii na undergrounds. Anajiona yuko right in every way. Sasa kwann achomw albam ya Mchawi? Tena na wana kishenz..kisa wimbo?? Hapa kuna a lot behind the scenes.
Ndo maana cku hizi hata mzuka wa kilinge unapungua
 
right 100%
 
namkubali sana nikki..tatizo ana diss sana machalii na undergrounds. Anajiona yuko right in every way. Sasa kwann achomw albam ya mchawi? Tena na wana kishenz..kisa wimbo?? Hapa kuna a lot behind the scenes.
Ndo maana cku hizi hata mzuka wa kilinge unapungua

nikki ana lile tatizo la superiority complex! Yani yeye ndo yeye kwenye kila kitu...!
 
Back
Top Bottom