Nikki Mbishi Amvaa Salama Jabir

Kwenye introduction ya kipindi huwa anatamka kwamba anao wahoji ni marafiki zake, so kipindi ni Salama na marafiki zake.

Sasa kama Nikki Mbishi siyo rafiki, hawezi kutokea.

Labda kama Salama angesema ni kipindi kwa ajili ya wote halafu akaita marafiki zake tu ndo ingekuwa kakosea, otherwise maudhui ya kipindi yanaendana na anaowaita.
 

Ndio maana kipindi kimedoda, atleast mkasi kilikua juu , aendelee kupiga story na mashoga zake , marafiki hao kwio mxieew
 
Unju hajuagi kukaa kimya hiki chuma
 


!
!
Kuna Ukweli Mwingi Sana Katika Hilo
 
Unju anapotea kwanza vipi ile offer aliotoa WAKAZI ya kubet hela zake zote kwa KADO naona anataka kutusahurisha anamuogopa KADO unju.
 
Leo kidogo nimemuelewa Nikki mbishi hoja yake Ni kwamba salama anahoji watu wake wa karibu badala ya kuiangalia watu wengine ambao ni maarufu lakini hawana ukaribu na salama
 
Leo kidogo nimemuelewa Nikki mbishi hoja yake Ni kwamba salama anahoji watu wake wa karibu badala ya kuiangalia watu wengine ambao ni maarufu lakini hawana ukaribu na salama

Yeah akumbuke it’s not about her, it’s about mashabiki, sasa kama akitaka kupiga story na marafiki zake akapigie nyumban kwake na asituonyeshe kwa Tv
 
warumi nakuunga mkono kwa asimilia 💯 pamoja na kwamba Nikki mbishi Ni mtu wa malalamiko lakini hoja yake hii inamashiko salama anatakiwa ajue ili kutanua kipindi Chake anapaswa asijikite Pekee kuhoji washikaji wake pia na wengine ambao si washikaji wake tofauti na hapo atakuwa Kama anafanya group charity na si biashara.
 
Kwani kuna vipindi vingapi ukiacha cha salama akahojiwe huko
 
Salama anamuiga sana Ellen, i love them both, ila sasa kuna vingine ambavyo wala havihitaji mtaji wala nini ni ubunifu tu Ellen anampita Salama au Salama amegoma kuviiga kwa Ellen,

Salama Na (hapa anaangalia upepo unapoenda anapita nao), muhimu alenge vijana, wahenga, wake kwa waume.
 

Ooh kuhusu IQ kubwa, lesbians tuna Iq kubwa na communication skills nzuri,

Nazungumzia real lesbians sio hao wanaoiga.
 
Ooh kuhusu IQ kubwa, lesbians tuna Iq kubwa na communication skills nzuri,

Nazungumzia real lesbians sio hao wanaoiga.

Hata Gays pia wako hivyo, wengi ni wabunifu na wenye vipaji vya kutisha, pia wengi wao ni matajiri wa kutisha especially wale walio kwenye tasnia za sanaa ; Uigizaji, muziki, utangazaji, u modo n.k . Watu wa aina hiyo wengi huwa na vipaji vya kutisha, Sijui kuna siri gani nyuma ya pazia
 
Upo sahihi kabisa, kikubwa tunafatisha vipaji vyetu na tunavitumikia kwa moyo wote, hatuna marafiki wengi, hatupendi sana kujichanganya na watu, tupo selective na watu wa kua nao karibu,

Hatupendi kuharibu kitu ili baadae walimwengu wapate cha kuongea, tupo judged na jamii hii inafanya tufocus kwenye jambo tunalofanya ili kuwa prove wrong haters,

Tuna huruma na tunapenda kusaidia, waelewa, wenye busara na akili.

that's us [emoji304][emoji304]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…