Ahahah hatar...
Not necessary Nick mbishi, ajaribu basi kuwafukiria na wengine kidogo , italeta Radha ya kipindi kidogo
Basi huyo Salama yuko juu sana, maana watu wasiopata nafasi ya kuhojiwa katika kipindi chake wanalalamika.
ila vipindi vipo vingi na katika Channels Tofauti tofauti iwe ni ONLINE MEDIA (internet) au TRADITIONAL BROADCASTING MEDIA (TV, Radio)
sio lazma kila MTU ahojiwe na Salama.
Ukiona kipindi kinakufaa basi angalia, ukiona hakikufai basi angalia vipindi vingine mbona vipo vingi tu.
Biashara huria hii (open & free market) na huyo NIKKI MBISHI pia ni vyema akaanzisha kipindi chake naye na ahoji watu wake nae.
Anahitaji vitu vichache tu ambavyo nina hakika anaweza kuvi-afford maana connection anazo tayari.. :-
• Wazo (idea & content) la kipindi.
• Kutambua na kusoma Trendings, ili kwenda na wakati na kuongezea Ubunifu.
• Leseni ya TCRA kwa Online Media,
• Camera ya kushoot HD Video (hata camera ya simu kama Samsung, Huawei, iPhone, Sony etc. atumie tu kama inashoot in HD Quality)
• Angalau 3GB of internet Data (internet) kwa ajili ya ku-upload kipindi online.
• atahitaji maarifa ya kuedit video kwa kutumia Software na Computer.
• Marketing/promotion ya kipindi kwake itakuwa rahisi kidogo sababu ana wafuasi (followers) ktk social nets na pia he is a celeb.
Au akishindwa yoooooote hayo basi aanzishe Partnership na ONLINE MEDIA nyingnezo ambazo zipo tayari afu awe anahoji watu yeye na kuweka vipindi vyake huko.
(He is a celeb, so hawezi kosa media, maana Media znategemea Contents za Celebs pia ktk Biashara za Media zao)
Kwa yeye MTU MAARUFU hataanzia struggle za from the scratch ya kukatisha tamaa ukilinganisha na watu kama mie ambao PESA HATUNA na UMAARUFU hatuna vile vile.