Nikki Mbishi Amvaa Salama Jabir

Ellen Ni Nani ?na anafanya Nini? Na yupo kwenye kipindi gani? Tumjue
 
Haha Nikki yupo na point , ila Skuizi watu wana tafuta Viewers kama sio msanii maarufu au Infuencer kwa namna yoyote Salama sio rahisi akuweke kwenye kipindi chake, hata kwenye vipindi vya redio focus kubwa ni viewers/listeners kama huwezi waletea unakaa pembeni. Pia kuna wasanii wengine hawahojiki kama Nikki mwenyewe utata utata na ujuaji mwingi hakawii kuongea mbovu au hata kuzirusha kwenye interview. Cha msingi kukaza haswa kwenye category zao na kurekebisha tabia watahojiwa sana.
 
Nikki mbishi hajajizungumzia Kama yeye amezungumza in general salama anawahoji watu wenye ukaribu nae zaidi
 
My name is Warumi aka the legend, the gossip cop[emoji23]... nipo na nitakuwepo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Endelea tu kutupa Burudani ila nimeshangaa kutotupa ubuyu wa wolper na chidy design hii habari naona Kama umeikaushia hivi
 
Oh kwa mtazamo huo yupo sahihi, Salama ana bias kwenye kazi zake.

Ana base na wasanii ambao ana ukaribu nao na anawamudu.. salama ako na maswali makali sana na haogopagi kuuliza, so baadh Ya watu huwa hawawezi kuvumilia hilo unakuta wanaanza kugombana... salama hat ukiwa na scandal ya ushoga au uchawi lazima akuchimbe deep, inshort huwa anauliza maswali ambayo watu wengi wanatamani kusikia, too bad it doesn’t work kwa kila msanii wengine wana panick
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Endelea tu kutupa Burudani ila nimeshangaa kutotupa ubuyu wa wolper na chidy design hii habari naona Kama umeikaushia hivi

Lol hawajanihamasisha kihivyo ahaha
 
Kupanic kwenyewe huko ndio kunanogesha interview
 

Hata mimi ndo nilichokielewa ni kuwa anapiga story na washkaji zake wenye influence. Sio na kila mtu. Ukirudi kwenye mkasi alikuwa anapiga story na watu wengine ambao hawakuwa hata celebrities mfano kuna T.O mmoja ashawahi kumuhoji
 
In this fucking world you don’t have to be real......just be smart
 
Ndio aise,si unajua wakijaga huku Arusha waigizaji tunaenda kusumbua tu mradi majaji wacheke machalii zetu wapite mchujo.
Dah afu mi najuaga mko serious... Kumbe mnafanyaga makusudi mchekeshe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…