Nikki Mbishi fans special thread

Siku zote real MC's hawawi na mafanikio makubwa kiuchumi. Hebu mlinganishe Future na mtu kama Royce da 59. Au hata akina Drek na mtu kama Nas.

Nikki Mbishi is a hell of a talent. Na siku zote, lazima uwe smart upstairs ili uwaelewe watu kama Nikki, One, Sterio, Nash MC and the like!

Kama unaubongo mwepesi lazima uone ka niwazinguaji.

- KANA -
 
Baba Malcom uyu jamaa free style anaweza sana nakumbuka tulipokuwa tunasoma nae Mist (Must) Mbeya alikuwa ana tuchania sana sema sasa Pombe na wanawake ilikuwa too much na videmu vilikuwa vina mshobokea kipindi icho play boy bado ya motomoto

G.O.M.D
 
Nadhani jamaa na album moja na mixtape mbili (if am wrong correct me).

Nikki ndo the best emcee kwa era hii (including akina Fid q na Joh makini). Ni best kuanzia flow, uandishi (metaphors, word plays, punchlines etc) na freestyle. Anajua sana huyu jamaa.

Tatizo ni kwamba ana usela m*vi sana, ni mlevi, mzee wa ganja, mkorofi, rigid alafu anajisikia sana huyu dogo. Kuna vitu vichache akibadilisha katika tabia zake naona kama atadumu zaidi.

Media pia hazimpi airtime za kutosha kama zamani, sijui tatizo ni nini hapa, ni aina ya ngoma au tabia yake kwao.

Ila All in All, jamaa ni true talent.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee wa tungi uyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ana albamu 3 kanda mseto 1

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usela mavi kivipi ebu elezea kidogo Mimi huwa nakutana nae niambie nikamchane
 
Mimi ngoma nnayoikubari ambayo nikiisikiliza inabiwazisha sana ni nyakati za mashaka.
Beat kali, grace matata kapiga bonge la chorus nikki kaua na maujumbe yanayo nigusa.
Nyakati za mashaka hizi
Na kukosa imani ni rahisi

Nini mnataka mazee, mafans hawakuelewi
Zamani walijubu rhymes, leo imebaki aibu
 
Siku zote real MC's hawawi na mafanikio makubwa kiuchumi. Hebu mlinganishe Future na mtu kama Royce da 59. Au hata akina Drek na mtu kama Nas. Nikki Mbishi is a hell of a talent. Na siku zote, lazima uwe smart upstairs ili uwaelewe watu kama Felix King, Zamani, Nikki, One, Sterio, Nash MC and the likeKama unaubongo mwepesi lazima uone ka niwazinguaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Noma sana
 
6.malimwengu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What abt Kendrick Lamar?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jamaa yenu hataki kubadilisha mziki kuwa kazi, mambo ya kudumu kwenye mila na kufanya mziki harakati na bado ukawa unakulipa wanafanya wamarekani ambao soko lao liko stable ila sio huku Africa nafasi bado sio nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…