Mjumbe nimekupmBaba Malcom uyu jamaa free style anaweza sana nakumbuka tulipokuwa tunasoma nae Mist (Must) Mbeya alikuwa ana tuchania sana sema sasa Pombe na wanawake ilikuwa too much na videmu vilikuwa vina mshobokea kipindi icho play boy bado ya motomoto
G.O.M.D
Unataka a change aimbe taarabu?jamaa yenu hataki kubadilisha mziki kuwa kazi, mambo ya kudumu kwenye mila na kufanya mziki harakati na bado ukawa unakulipa wanafanya wamarekani ambao soko lao liko stable ila sio huku Africa nafasi bado sio nzuri.
Nimeachia seduce me wiki mbili nyuma na imevunja record youtube kwa views.Ww unaejua unamafanikio gani?
Ndio kitu nashindwa kukielewa kwenye hiphop, msanii akifanya vizuri anageuka kuwa wack hata kama anaendeleza mikato ileileAnapodoa uyo mrembo cikuiz
Anafanya vizuri nje ya misingi ndyo maana anaitwa whacyNdio kitu nashindwa kukielewa kwenye hiphop, msanii akifanya vizuri anageuka kuwa wack hata kama anaendeleza mikato ileile
Sent using Jamii Forums mobile app
yoooooooh!! mchizi wa getoBangi ya kibiti
We mrembo tuliza makalio hayoUnafanya yooooo uku unajinyea hurumia sana viungo vyako
Ana kwambia najenga future mimi sio play boy tena basi na hata nikiwa play boy bas play boy mwemaNaikubar sana FEEDBACKS ya nikki mbishi.......nikki mbshi n moja kat ya ma emcee wangu naowakubari.!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Airtime tuu mkuu mbona fid anasikika kila dayjamaa yenu hataki kubadilisha mziki kuwa kazi, mambo ya kudumu kwenye mila na kufanya mziki harakati na bado ukawa unakulipa wanafanya wamarekani ambao soko lao liko stable ila sio huku Africa nafasi bado sio nzuri.
kua serious bac mkuuIla Nick Mbishi uwa sijui kwanini namuona kama mzugaji wa mziki ila ni mtazamo tu masela msijenge chuki (in afande sele voice)
naona mziki umekushinda nikki...huku hatutoi kiki nenda insta kwa vibahasha vyako.Utajinyea dogo