Zumbe Kimweru
JF-Expert Member
- Jul 13, 2014
- 340
- 27
mkuuu... sizungumziii hotuba yake kwenye kuaga rais. Huko Clouds anapewa airtime kuzungumzia siasa kwa sababu ya maslahi binafsi, utoaji wake wa maono ni wa kutugawa.Nick hajakosea chochote, ww umeshindwa kuelewa hotuba yake sababu umeiacha fikra zako zitawaliwe na feelings na sio logic
Hahahahahhahaha...hawa wasanii wa bongo ni shidaaa,huyu nani sanga sijui anahojiwa hapa,anavyojibu ni shidaaa...hakyanan asili ni asili tu ni kama ngozi....samahan kwa kuingilia uzi