Zumbe Kimweru
JF-Expert Member
- Jul 13, 2014
- 340
- 27
Nakupa ushauri mdogo wangu Nikki wa II. Nimeona nikupe taarifa mapema kabla hujapotoka. Katika kipindi hiki kuwa makini, hata kama unapenda sana CCM au umeahidiwa chochote.
Muziki wako tunasikiliza watu wengi, wana CCM, UKAWA na wasio na vyama. Utachafua brand yako na history ya muziki wako wa kupigania haki, refer wimbo "Niaje ni vipi?"
Maslahi yako na CCM usiyalete kwa mashabiki, utajisikiliza mwenyewe #Oktoba 25 asubuhi.