Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Hawezi kupanga hoja zikawa na mtiririko mzuri yani akisimamia kimsimamo chake habadiliki. Hana skills za kuongeaHuyu jamaa pamoja na masters yake ya D.S bado hawezi kichambua vitu ku link vitu vizuri si siasa, uchumi hata mambo ya kijamii kulikua na kipindi aliki host TV1 yaani ni mjinga mjinga hivi haeleweki sijui anaongea ongea vitu daaahh aiseee shule zingine hizi...
wana ukawa hebu mjitambue! Yaani hawa jamaa! Ukiwa tofauti na mawazo yao wewe ni tatizo!! Wamejaa Ushabiki tu na matusi!! Hoja hawana ni kuropoka! Tu
Kama dini(iman) za watu zinachambuliwa itakuwaje vyama vyenu,wanachama wenu,viongozi wenu wasichambuliwe! Kila atakayewapinga ni ccm!! ACHENI UTUMWA WA FIKIRA!
Hawezi kupanga hoja zikawa na mtiririko mzuri yani akisimamia kimsimamo chake habadiliki. Hana skills za kuongea
Ajitahidi mana ni msomi kuna siku alikua na afande sele alikua ana mshinda kwenye mtiririko wa hoja.Hata mimi nimeliona hilo mkuu.Ila bado mdogo atabadilika na kuwa bora siku zinavyokwenda.
Sasa yeye kutoa hotuba kwa niaba ya wasanii ndo anajiona amefika, pamoja na shule yake mambo ayafanyayo aisee atapotea kabisa, msanii bila support ya wananchi ni useless. Kuna wasanii mbona wamepiga kimya kuepuka kuwagawa mashabiki. Wasanii wawe makini sana uchaguzi huu la sivyo watakua historia
Ni kweli kabisa huyu dogo anajiharibia sana kwasasa katika muziki wake.
Umewahi hudhuria show zake?.
Umewahi kununua kazi zake?
Mwacheni awe huru
Watanzania wengi hawapendi ukweli ndo tatizo unafiki ndo sifa kuu yao mada ni nick mtu anaingiza Ukawa sijui madudu gani. Nick ana shule ila mtiririko wako mhhhh anyway maisha ni yake afanye alipendalo si kila akusifiaye anakukubali criticism zimewajenga watu wengi waliokubali mapungufu yao na kuyatendea kazi.Mkuu kama haufahamu Weusi nawakubali sana tena sana na Nikki wa 2 namkubali pia,na nimeandika hivi si kumponda bali najaribu kuweka wazi ukweli kuwa akijihusisha na siasa atapoteza baadhi ya mashabiki wake,kwani mashabiki/watanzania wapo kimirengo tofauti tofauti. I hope unaelewa nachomaanisha
Huwezi kuwa msanii kama una akili ya Shule. Hata hivyo katika jalala utapata taka safi, ndo Nikki