Somebody said kuwa hana mtiririko katika hoja zake. Nikki yupo vizuri kwa Kile anachokifanya tatizo JF imejawa na critics wengi, wengine hawana uwezo hata wa kuongea na kuchambua mada kwenye hadhira ila wakiwa nyuma ya simu na laptop they are talking a lot.
Kingine, mashabiki wanaenda mbali sana na privacy za wasanii wao mbona kina juma nature,kala jeremih na ney wa mitego wanapomtembelea Lowassa hamuongei, nachojua kila mtu Ana haki na uhuru wa kuchagua chama na kushikilia msimamo anaoamini hata kama akianguka haidhuru bado atakuwa mwananchi wa kitanzania. Let him live his life.