Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Msiposikiliza anachukua vyeti anazama kwenye soko la ajira hivyo vtisho vya kususia muziki wake kamtisheni Nuhu Mziwanda
Ongeza sauti kidogo,umeongea point sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msiposikiliza anachukua vyeti anazama kwenye soko la ajira hivyo vtisho vya kususia muziki wake kamtisheni Nuhu Mziwanda
Na wanaosifia UKAWA wanachanganyikiwa Na nini?Ukuu wa wilaya ndo unawachanganya hawa
Nick kama wee ni ccm tusikuone Arusha, uku hatutaki wapuuzi watu tuna makovu kwasababu ya hawa jamaa.
Huyu jamaa pamoja na masters yake ya D.S bado hawezi kichambua vitu ku link vitu vizuri si siasa, uchumi hata mambo ya kijamii kulikua na kipindi aliki host TV1 yaani ni mjinga mjinga hivi haeleweki sijui anaongea ongea vitu daaahh aiseee shule zingine hizi...
Daaah hivi black rhino bado yupo kweli kwenye game? jamaa nadhani kazi za ofisini zimemtaiti mpaka hasiskiki afadhali ya F.A presence yake inaonekana, ila huyu jamaa nick wa pili kwa kweli inabidi kama ajifunze sema sijui atajifunza wapi maana amepita level za kutosha academic wise ila tafikiri hana shule daaah jamaaa ana ujinga ujinga flani hivi...kwa ufupi dogo is overrated....ni vile tu kwenye jamii ya wasanii yeye ndie mwenye afadhali ya ka shule,labda na black rhino na Fa.wenzie wana akili kidogo.