Nikki wa Pili ayape heshima mavazi ya kitaaluma. Achague kuwa PhD holder ama abaki na swagger zake za kisela

Nikki wa Pili ayape heshima mavazi ya kitaaluma. Achague kuwa PhD holder ama abaki na swagger zake za kisela

Hata akivaa bikini...what matters ni cheti cha elimu yake...kwanza amejitahidi sana kuliko wavaa suti na tai unaowajua
 
Mtoa mada ni fala kweli kwani ukiwa na PHD nani kakuambia kuwa huwezi fanya vitu vingine.

Mbona nchi za wenzetu mtu ana bachelor degree ni msanii au bondia na ni kawaida ila hapa bongo ukiwa na bachelor degree watu watataka uishi maisha fulani hivi hata km huyapendi.

Elimu ni vyeti tu cha muhimu ni kuwa na uwezo mzuri wa kuchanganua mambo.
 
PHD kitu gani , kuna watu hawana PHD lakini wako smarter kuliko hao phds , eg Tundu lissu, Bashe , Zitto , othman chande ( jaji), JK, etc
 
Nasubiri comprehensive papers zake na andiko lake nisome ndipo nitamjaji rightly kwasasa namuacha atumie dogs' sound kupata pesa
 
Rais Samia anafaa aongezewe muda mpaka 2030 kwa maana anafanya mambo makubwa sana.
 
Back
Top Bottom