Nikki wa Pili bado hataki kazi kama alivyoimba mwaka 2014

Switcher sio boss wa s2kizzy kwa sasa na s2kizzy hayupo switch records sasa huyo quick rocka atamfukuzaje nikki studio kwa s2kizzy
 
kaka yake anatembelea porte haraf yule mwingine kati ya grandmark 2 au brevis lakin nae anashuka kitonga...ndio maana siwaaminig watoto wa arusha wanapenda sana mtelezo
Sijui kwanini watoto wa arusha wanapenda kitonga sana..mi nilijua nikki wa pili life is good kutoka na twitter post zake
 
Hamna kitu kk
au labda ana miradi kibao ya kusimamia tu. hafanyi yeye kawaweka watu.

Ni kama mimi, ukiniona unaweza kusema sina kazi maana muda mwingi nipo free, ila kuna watu wana ripoti kwangu maendeleo ya miradi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…